Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Karibu mkuu

Ni kwel 7.3 ndio kuna stable Nying za poco f1..unatumia 7.3 ya developer gan?

Ni siku mingi niliiweka af siku'pay attention ni ya Dev gani.

Ila inapiga shots safi sana asee.

Astrophotography ndo usiseme ariff.

Nimejaribu 7.4 uliosuggest imegoma ku'update on the 7.3 niliyonayo.

Ngoja niwe na subira. Iko siku ntabahatisha apk ya juu yake.

Shukrani sana ariff.
 
Mkuu sisi wa Oppo a3s tupo kwenye list?
Hii mzee ndogo sana...kuna gcam 5.1 sema ni ya nyuma na ili kuinstall ni kipengele lazma uroot simu,uenable camera 2 api kisha ndio uweke hyo 5.1 gcam...ukipata oppo kubwa kubwa gcam zipo

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SIM

mpwa kwa samsung A21s ipo hiyo Google Camera
 
Back
Top Bottom