Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hapana ila kuna gcam go edition ambayo ni ya hizo infinix..sio kali kama gcam yenyew ila ndio mbadala

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu, Naomba mwongozo kidogo namie nilipita nayo tu humu link ikakubali kwenye redmi Ila nahisi kwenye settings pia panaweza ongeza ubora wa camera, kuna hizi options hapa je hakuna haja ya kuzichange?

View attachment 1727025View attachment 1727026
Screenshot_2021-03-16-11-27-12-311_com.android.MGC.jpg
 
Back
Top Bottom