Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google camera inakubali kwenye hizi simu za Xiaomi Redmi 9, 9c n.k?
Kwenye Redmi 9 inakubali kabisa. Kwenye 9C hata mm bado natafuta Gcam yake. Kwenye Picha ni version za Gcam zinazokuli kwenye Redmi 9
IMG_20210913_192940.jpg
IMG_20210913_192915.jpg
 
Oi naomba nipe link ya a21s basi mtu wangu maana nyingi za hazifanyi kazi kwenye simu
 
Hivi latest best Gcam ya Redmi note 7 ni ipi...nnayotumia sioni utofauti na camera ya kawaida ya simu
 
Back
Top Bottom