kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #3,321
Yes ila hizo kuna gcam yke ndogo zile ndo inakubaliGoogle camera inakubali kwenye hizi simu za Xiaomi Redmi 9, 9c n.k?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ila hizo kuna gcam yke ndogo zile ndo inakubaliGoogle camera inakubali kwenye hizi simu za Xiaomi Redmi 9, 9c n.k?
Kwenye Redmi 9 inakubali kabisa. Kwenye 9C hata mm bado natafuta Gcam yake. Kwenye Picha ni version za Gcam zinazokuli kwenye Redmi 9Google camera inakubali kwenye hizi simu za Xiaomi Redmi 9, 9c n.k?
Hii kipengele mkuu [emoji3]Oi naomba nipe link ya a21s basi mtu wangu maana nyingi za hazifanyi kazi kwenye simu
Link broo[emoji1745]
BeiJipatie google pixel simu bora pamoja na camera bora, tunapatikana kariakoo msimbazi.
View attachment 1936975View attachment 1936976View attachment 1936977
Search kwenye uzi utaiona mkuuLink broo[emoji1745]
Naomba linik ya nokia 8
Naomba linik ya nokia 8
Snapdragon 835
Android 9
Pamoja ndio latest hii
Utapakua iloandikwa eng apk...hyo ndo nzuri.. inasupport config nyingiPamoja ndio latest hii
Asante mkuu...Utapakua iloandikwa eng apk...hyo ndo nzuri.. inasupport config nyingi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Naona nimetumiwa cinfguration sijui inakuaje hapoUtapakua iloandikwa eng apk...hyo ndo nzuri.. inasupport config nyingi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Umetumiwa na nan?Naona nimetumiwa cinfguration sijui inakuaje hapo
Hii sjaona mkuu...labda ujarbu tu tulizoshare jukwaaniMkuu nitapata Gcam ya Vivo x21i