Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni picha ni sawa na Google camera Go. Na sio google camera Og mkuu achana na Google camera.
Mkuu nimeamini S8 plus nikita imekaa ni yamoto sana tena moto mno. Em nieleweshe kuhusu hii Hires mkuu.Anhaa basi poa humo,mim namtumia nikita sana,pia Shamim kwaajil ya HIRes,bsg nayo ipo pemben hapa [emoji2]
Andika vizuri ndio ujibiweMkuu nimeamini S8 plus nikita imekaa ni yamoto sana tena moto mno. Em nieleweshe kuhusu hii Hires mkuu.
Ushoga huu sasa!!Nakupenda sana jamaa yangu una akili kinyama!!!
Hires mkuu ,inapiga picha kweny MP zote za simu,kwaiyo picha itakua na resolution kubwa kuliko kawaida lakin pia itakua na mb kubwaMkuu nimeamini S8 plus nikita imekaa ni yamoto sana tena moto mno. Em nieleweshe kuhusu hii Hires mkuu.
Uzuri wa S8 plus ina camera moja tu.Hires mkuu ,inapiga picha kweny MP zote za simu,kwaiyo picha itakua na resolution kubwa kuliko kawaida lakin pia itakua na mb kubwa
Yeeer ni snapdragon mkuuKama ni snapdragon unapata
Embu ukiipata nistue unioneshe baadhi ya ubora wa picha zake. Nataka nishift kutoka pixel kwenda S10+ au Note 10+ Ila unyama wa camera ya pixel ndo unanifanya mpaka leo nisiiache hii simuMkuuu kwema?
Naweza gcam ya samsung S10 5G
Kati ya S10+ na note 10+ ipi ina camera nzuri zaidiEmbu ukiipata nistue unioneshe baadhi ya ubora wa picha zake. Nataka nishift kutoka pixel kwenda S10+ au Note 10+ Ila unyama wa camera ya pixel ndo unanifanya mpaka leo nisiiache hii simu
Nafikiri note 10+ itakua njema zaidiKati ya S10+ na note 10+ ipi ina camera nzuri zaidi
Note series ni simu na nusu hapo nenda kwenye note 10+Kati ya S10+ na note 10+ ipi ina camera nzuri zaidi
Shukrani sana boss![]()
Pakua ruler apk
Mkuuu kma kuna config msaada![]()
Pakua ruler apk