Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Anhaa basi poa humo,mim namtumia nikita sana,pia Shamim kwaajil ya HIRes,bsg nayo ipo pemben hapa [emoji2]
Mkuu nimeamini S8 plus nikita imekaa ni yamoto sana tena moto mno. Em nieleweshe kuhusu hii Hires mkuu.
 
Hii ni picha ni sawa na Google camera Go. Na sio google camera Og mkuu achana na Google camera.
Kweli kabisa,hiyo ni Go edition labda ndio yakufananisha nayo [emoji23]
 
Mkuu nimeamini S8 plus nikita imekaa ni yamoto sana tena moto mno. Em nieleweshe kuhusu hii Hires mkuu.
Hires mkuu ,inapiga picha kweny MP zote za simu,kwaiyo picha itakua na resolution kubwa kuliko kawaida lakin pia itakua na mb kubwa
 
Mkuuu kwema?
Naweza gcam ya samsung S10 5G
Embu ukiipata nistue unioneshe baadhi ya ubora wa picha zake. Nataka nishift kutoka pixel kwenda S10+ au Note 10+ Ila unyama wa camera ya pixel ndo unanifanya mpaka leo nisiiache hii simu
 
Embu ukiipata nistue unioneshe baadhi ya ubora wa picha zake. Nataka nishift kutoka pixel kwenda S10+ au Note 10+ Ila unyama wa camera ya pixel ndo unanifanya mpaka leo nisiiache hii simu
Kati ya S10+ na note 10+ ipi ina camera nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom