Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

Mbona pako poa tu, pemben ya barabara, ishu ile barabara ya lami wapige double road mana kule sasahivi kuna watu weng sana
Nimefikilia sana ivi safari ya kwenda temeke hosp kutokea msongora na kwenda pale chanika wapi mbali...

Hapo ndo linakuja suala la location maana hapa gomz tu unakuta mtu yupo tayari kwenda temk au kwengine ila sio nguvu kazi sielewi

Mi juzi ndo nimefahamu naambiwa na jamaa anasema ni hosptal kubwa tu
 
Sehemu ya Kulala kipaumbele kwangu ni upya wa Hotel au Lodge hata iwe hotel kubwa au kaguest Cha vijijini huko ili mradi mpya nitaipa kipaumbele ,lengo hasa ni usafi .
Sehemu za starehe ninaweza nikareview Maps au bodaboda ,wahudumu wa bar nk
 
Kutoka msongola hadi nguvukazi ni karibu kuna shortcut unapita hauendi kuzungukia mvuti, temeke hospital ni mbali sana
 
Na maranyingine watu wa chanika, pugu na gongo la mboto wanaenda kisarawe kwenye hospital ya wilaya wanasema nayo nzuri, kutoka pugu hadi kisarawe kwa bajaji 800
 
Na maranyingine watu wa chanika, pugu na gongo la mboto wanaenda kisarawe kwenye hospital ya wilaya wanasema nayo nzuri, kutoka pugu hadi kisarawe kwa bajaji 800
Yeah hospital ya Kisarawe nzuri na kubwa sana.
 
Hata mimi kumbe
 
Google map huwa naitumia sana, hapo zamani kidogo ndio ilikua balaa nilikua siulizi nikitaka kwenda mahali ni mwendo wa google map tu.
 
Na maranyingine watu wa chanika, pugu na gongo la mboto wanaenda kisarawe kwenye hospital ya wilaya wanasema nayo nzuri, kutoka pugu hadi kisarawe kwa bajaji 800
Mkuu wanasema ile hospital ya nguvu kazi inaongoza kwa mapato makubwa sana kwa hi wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…