Ndgu sina hoja za kitaalam juu ya simu hizi ila nilichoona kwa dogo wangu alinunua zaidi ya tatu na zikamfia mkononi maana mwanzo alichukua used akasema labda tatizo nimechukua simu ya kutumika ikabidi azame shop kwa maelezo yake ila naona kwa hizi zote tatu zilizima gafla na haikuwezekanika kutengeneza amepeleka sehemu mbali mbali holaWakuu habari zenu,
Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel,
Nimejichanga nimepata hela kidogo ,nataka ninunue google pixel 5a kutokana na specs zake
Ila kuna jamaa angu k.koo anaziuza hizi simu ila kanipa taathari kuwa hiz simu siku za karibuni kapokea malalamiko mengi kutoka kwa wateja wake ,simu kujizima tuu ghafla, kitu kinachopelekea kuanza kupoteza soko
Sasa narudi kwenu wanajukwaa hilo tatizo ni common kwa hizi simu? Na linasababishwa na nini?
Nimeanza kupata wasiwasi nafikiria nichukue brand nyingine
Umenunua sh ngapi kwanza?Wakuu habari zenu,
Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel.
Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue google pixel 5a kutokana na specs zake
Ila kuna jamaa yangu Kariakoo anaziuza hizi simu ila kanipa tahadhari kuwa hizi simu siku za karibuni kapokea malalamiko mengi kutoka kwa wateja wake, simu kujizima tuu ghafla, kitu kinachopelekea kuanza kupoteza soko.
Sasa narudi kwenu wanajukwaa hilo tatizo ni common kwa hizi simu? Na linasababishwa na nini?
Nimeanza kupata wasiwasi nafikiria nichukue brand nyingine.
Ulinunua ya Bei Gani?yangu haijawai jizima. Na nimeishawai kuwa nazo mbili kwa wakati tofauti
Na changamoto ya overheating vipi?yangu haijawai jizima. Na nimeishawai kuwa nazo mbili kwa wakati tofauti
Overheating .. ni kweli hii ipo.. ila matumizi yangu ya simu ni madogo sana.. ( ila kwa anae tumia sana, aangalie aina ya app atumiazo na mda anaotumia kwa hizo app) akicheza hapo vizuri kwa kiasi hiyo shida ataweza kabiliana nayoNa changamoto ya overheating vp?
Kama unanunua used basi tegemea hilo tatizo wakati wowote ule.Wakuu habari zenu,
Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel.
Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue google pixel 5a kutokana na specs zake
Ila kuna jamaa yangu Kariakoo anaziuza hizi simu ila kanipa tahadhari kuwa hizi simu siku za karibuni kapokea malalamiko mengi kutoka kwa wateja wake, simu kujizima tuu ghafla, kitu kinachopelekea kuanza kupoteza soko.
Sasa narudi kwenu wanajukwaa hilo tatizo ni common kwa hizi simu? Na linasababishwa na nini?
Nimeanza kupata wasiwasi nafikiria nichukue brand nyingine.
Hizo simu used ni chache refurb ni Nyingi mean zinafanyiwa matengenezo kwenye viwanda Vya kufufua simu zilizokufaWakuu habari zenu,
Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel.
Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue google pixel 5a kutokana na specs zake
Ila kuna jamaa yangu Kariakoo anaziuza hizi simu ila kanipa tahadhari kuwa hizi simu siku za karibuni kapokea malalamiko mengi kutoka kwa wateja wake, simu kujizima tuu ghafla, kitu kinachopelekea kuanza kupoteza soko.
Sasa narudi kwenu wanajukwaa hilo tatizo ni common kwa hizi simu? Na linasababishwa na nini?
Nimeanza kupata wasiwasi nafikiria nichukue brand nyingine.
Hapa ndo changamoto ya hizi simu zina heat sanaNa changamoto ya overheating vp?