Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Jombaa hamna simu hapo, achana na huo uchafu labda kama huna matumizi makubwa ya simu, hizo ni simu tunazoita simu Kali Kwa bei rahsi, Kwa vyovyote tuu lazima ikufie Kati Kati ya safari, Mzungu sio Fala, Mimi nasubiri iPhone watangaze toleo la iPhone 15 , nikadake iPhone 14 pro mpya, niachane na swala la simu Kwa miaka mitano mbeleni.Hv hiz simu za pixel kwa hapa bongo hakuna supplier anayeziuza mpya?