Google pixel zina tatizo la kujizima ghafla?

Google pixel zina tatizo la kujizima ghafla?

Hv hiz simu za pixel kwa hapa bongo hakuna supplier anayeziuza mpya?
Jombaa hamna simu hapo, achana na huo uchafu labda kama huna matumizi makubwa ya simu, hizo ni simu tunazoita simu Kali Kwa bei rahsi, Kwa vyovyote tuu lazima ikufie Kati Kati ya safari, Mzungu sio Fala, Mimi nasubiri iPhone watangaze toleo la iPhone 15 , nikadake iPhone 14 pro mpya, niachane na swala la simu Kwa miaka mitano mbeleni.
 
Hili tatizo ni kweli lipo..Ila nadhani linatokana na hizi recent updates zilizoingia..Binafsi natumia Google Pixel 5..Na hii changamoto nimeanza kui expeeience mwanzoni mwa mwezi wa 8 mwaka huu 2023
Ya kwako nayo ilijizima? Vp ilikuja kuwaka tena? Au ndo mazima
 
Simu zote za Android ni majanga Mzee , huwa zina mauza uza kibao ndani ya safari...!! Ads nyingi , mara izime , mara istack , mara ichemke yaan full disturbing
So unatushauri nini sisi wenye kipato kidogo
 
Ndgu sina hoja za kitaalam juu ya simu hizi ila nilichoona kwa dogo wangu alinunua zaidi ya tatu na zikamfia mkononi maana mwanzo alichukua used akasema labda tatizo nimechukua simu ya kutumika ikabidi azame shop kwa maelezo yake ila naona kwa hizi zote tatu zilizima gafla na haikuwezekanika kutengeneza amepeleka sehemu mbali mbali hola
Nnayo yangu huu unaenda Mwaka wa Pili inadunda tu inategemea alinunua wapi na anaitumiaje
 
Back
Top Bottom