Google pixel zina tatizo la kujizima ghafla?

Google pixel zina tatizo la kujizima ghafla?

Nilikua hiyo 4xl hata mwaka haijamaliza imezima na kuwaka imegoma imebidi ninue samsung mpya dukani A 54 5g achana na used ni utapeli
20230906_163514.jpg
 
Ilikuw inazima na kuwaka..kama ushawah ku expeeience maji yakigusa kioo cha simu jinsi inavyoweweseka..ilikuw mithili hyo rema hii ilizidi..cz ilikuw inaji reboot kama mara 10 hv na inapata moto..then ukiifosi kuzima inajizima na inatulia
Hayo matatizo hata kwenye Samsung mbona yapo,kununua simu used ni kama kununua gari used,chochote kinaweza kukutokea,lakini sio kila anayenunua simu used anakutana na hiyo changamoto,wengine zinadumu na hazipati matatizo yoyote....
 
Hayo matatizo hata kwenye Samsung mbona yapo,kununua simu used ni kama kununua gari used,chohote kinaweza kukutokea,lakini sio kila anayenunua simu used anakutana na hiyo changamoto,wengine zinadumu na hazipati matatizo yoyote....
Yangu haikuw used..Nilinunua Mpya..
 
Yangu haikuw used..Nilinunua Mpya..
Kama ilikuwa mpya basi ina tatizo tokea kiwandani,na hilo kwa electronic devices sio kitu cha kushangaza,mimi nina jamaa yangu alinunua Samsung A51 mpya dukani na box lake,ndani ya mwezi moja ikazima na kila ikipelekwa kwa fundi inaamka baada ya muda inazima tena,mwishowe akaamua kuachana nayo...
 
mi na mpango wa kuchkua weekend hii ila nshaingia hofu hapa
Simu inakwambia Kabisa update is already wewe unaupdate Ili iweje unajaza mavitu mwisho wa siku data simu Ina corrupt inakufa

Niwakumbushe pixel inaendeshwa asilimia Kubwa na software mi Nina 4xl niliupdate ila haijawahi sumbua
 
Mimi Nina pixel 4a 5g mwaka sasa na sioni tatizo lolote ila Kwa uelewa wangu mdogo apo shida sio google pixel Bali shida ni matumizi ya mtu uyo wa kwanzinkabla ya Kuja kwako kama mtumba (xingstua neno mtumba)
ulichukua mpya au used mkuu
 
Jombaa hamna simu hapo, achana na huo uchafu labda kama huna matumizi makubwa ya simu, hizo ni simu tunazoita simu Kali Kwa bei rahsi, Kwa vyovyote tuu lazima ikufie Kati Kati ya safari, Mzungu sio Fala, Mimi nasubiri iPhone watangaze toleo la iPhone 15 , nikadake iPhone 14 pro mpya, niachane na swala la simu Kwa miaka mitano mbeleni.
Kwamba ikitoka iphone 15,
14pro bei itakuwa imeshuka?
 
Mimi yangu mpk sasa haijawahi kunisumbua,ngoja niendelee kuitumia kwanza ntaleta mrejesho,ila iko poa sana mashine...
 
Mimi Infinix yangu hii tangu mwaka 2018 mpaka leo haijawahi kuzima nawekaga flight mode tu.
Watu watacheka ila ndio uhalisia, nina infinix yangu mpaka niliamua kugawa sababu kama kuiangusha nishaibwaga sana ila bado inadunda tu

Nikaenda shop kutafuta samsung ila kila nayopata ina dot nikaona isiwe tabu nikachukua Infinix moja yenye camera kali kiaina na storage ya kutosha, sa hv nasonga nayo vizuri
 
Back
Top Bottom