View attachment 3351563
Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI),
kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake.
View attachment 3351565
Feature hii inatumia Teknolojia ya Akili bandia ya Gemini ili kutoa majibu ya usahihi na haraka kuhusu app unayotaka kudownload kwenye simu yako. Utaweza kupokea taarifa muhimu kuhusu hiyo app ili kuweza kutambua zaidi.
View attachment 3351566
Unaweza kumuuliza maswali mbalimbali kama vile;
Mfano umefungua app ya WhatsApp na ukahitaji kupata taarifa zaidi kuhusu hiyo app ukamuuliza kama hivi. "Jinsi ya kuunda groups" , " jinsi ya kubadilisha username" au "hii app muanzilishi wake nani" nk.
View attachment 3351567
Maswali mbalimbali unaweza kumuuliza na kupata majibu kwa urahisi na
haraka.