Google yajibu: Wakenya hutaka kujua nini mtandaoni?

Google yajibu: Wakenya hutaka kujua nini mtandaoni?

Tanzania's Google search results
1.>>Scorpion amtoboa macho...
2.>>Faida yaSupu ya pweza....
3.>>Magufuli amtumbua....
4.>>Wema akiwa mtupu....
5.>>Mange akinukisha Instagram.....
6.>>Shilole amtwanga Nuh Mziwanda....
7.>>Jinsi ya kusoma sms zilizo kwenye simu ya demu wako kupitia simu yako
8.>>Afumaniwa live....
9.>>TUNAMTAKA Ben Saanane AKIWA HAI.....
10.>> Maxence Melo AACHIWE HURU...

My Take: Only No.9 & 10 ndiyo search zenye afya kwa Taifa!
Rogart Ngaillo
 
Isitoshe NO GVE TWO SHITS ABOUT TZ hapa juu .....as you have seen ...we have Ethiopia to worry about ...sisi si Watani wenu Nope Keep wishing!
Tell him bro, did he see any search from Kenya on Dangote and the so called lorries? Or Jamaa wa press up? We are concerned about serious business partners like Ethiopia and we don't want it to slide. We are interested with Humanity and that is what makes us the most generous in Africa, That is why we search for what is happening in Syria!!

Capture.PNG

Kenya are concerned about their health because their living styles have changed. Many are in offices and they need to live healthy!!
 
Kuna hawajui yoote hii surveillance lkn kutwa nzima wamekaa kusifia Mzungu kwamba wana privacy hawajui kwamba Mzungu ana data zao zote na anazitumia, Serikali yetu ukitaka data zetu mnagoma, na kuleta maneno meengi ya kejeli na kashfa kumbe Wazungu wanawachunguza mpka nnya zenu!
Wewe punga! Mbona umelikomalia hili suala.
 
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Tell him bro, did he see any search from Kenya on Dangote and the so called lorries? Or Jamaa wa press up? We are concerned about serious business partners like Ethiopia and we don't want it to slide. We are interested with Humanity and that is what makes us the most generous in Africa, That is why we search for what is happening in Syria!!

View attachment 446609

Kenya are concerned about their health because their living styles have changed. Many are in offices and they need to live healthy!!

You watch our Bongo flavor more than your crappy music.

Tanzanian songs are most watched YouTube music videos in Kenya
Tanzanian songs dominated Kenya’s most watched YouTube music videos list this year, revealing a bias for Bongo flava.
Salome by Tanzania’s Diamond Platnumz and Rayvanny emerged the most watched music video in Kenya while Rihanna and Drake’s Work song and Bado by Diamond Platnumz and Harmonize took the second and third slots respectively.
 
Isitoshe NO GVE TWO SHITS ABOUT TZ hapa juu .....as you have seen ...we have Ethiopia to worry about ...sisi si Watani wenu Nope Keep wishing!
Kwani Kenya mna watani? [emoji23]

Kwasababu hata wasomali jirani zenu na Waganda tu hamna hamuwakubali

Mnajiona nyie ni wa gharama mnajua kiiila kitu.
 
Kuna hawajui yoote hii surveillance lkn kutwa nzima wamekaa kusifia Mzungu kwamba wana privacy hawajui kwamba Mzungu ana data zao zote na anazitumia, Serikali yetu ukitaka data zetu mnagoma, na kuleta maneno meengi ya kejeli na kashfa kumbe Wazungu wanawachunguza mpka nnya zenu!

Kwani hao Google wanaitisha data, ukitaka hata wewe fanya surveillance. Serikali nyingi zinafanya surveillance kimya kimya, wanadukua mifumo bila kujianika.
 
Ahsante Google! Kwa kubainisha watani zetu kisirisiri inaonesha hawajiamini ktk masuala mengi na wala hawajipendi muonekano wao. Siku zote tumekuwa tunawaambia hii kitu hapa barazani JF lakini walikuwa wabishi sasa mambo yote hadharani.

Halafu tumekua tukiwaambia mara nyingi Wakenya huwa hawana muda na kufuata fuata Tanzania, nafikiri Google imekujibu. Lakni leo Google wakifanya utafiti kama huo Tanzania watashangaa kuona searches kama "how to overtake Kenya" ndio zinaoongoza.
 
Isitoshe NO GVE TWO SHITS ABOUT TZ hapa juu .....as you have seen ...we have Ethiopia to worry about ...sisi si Watani wenu Nope Keep wishing!
Hivi unaelewa nini maana ya utani? To you is all about money money and more money. Mmm kazi

Btw Ethiopia is a closed knit country, hata USA can't get its nose in their economy.
 
Tz ingekuwa enzi zile Google ipo mawasli yangekuwa Wapi kuna Mnuso , Pilau la shughuli , wapi kuna Hitma n.k
 
Halafu tumekua tukiwaambia mara nyingi Wakenya huwa hawana muda na kufuata fuata Tanzania, nafikiri Google imekujibu. Lakni leo Google wakifanya utafiti kama huo Tanzania watashangaa kuona searches kama "how to overtake Kenya" ndio zinaoongoza.
Si tayari tumeambiwa videos za bongo zinakuwa viewed zaid hapo kwenu,
Halafu mzee unakaa unalipia bundle mtandaoni unagoogle vitu vya kijinga namna hii, like seriously??..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hebu nionyeshe nini hapo cha kijinga. Hivi Google wanaifahamu Tanzania?? Just asking... Hata baada ya kufanya vituko kama kuwanywesha mbuzi beer bado hamsikiki.
 
Hebu nionyeshe nini hapo cha kijinga. Hivi Google wanaifahamu Tanzania?? Just asking... Hata baada ya kufanya vituko kama kuwanywesha mbuzi beer bado hamsikiki.
Kitu ambacho nimekuja kugundua, Wakenya wanapenda sana Twitter, kwasababu Twitter unaweza kujenga picha kwamba wewe unauwezo mkubwa sana, na unaweza kwenda mpaka sayari nyingine, lakini kiuhalisia, wewe ni mtu wa chini, na unamaisha magumu ya Choka Mbaya.

Wakati Watanzania, wao wanapenda instagram kwasababu, lazima uweke vielelezo au picha kuthibitisha unacho kusema. Japo hata instagram unaweza kujenga picha ya uwongo, lakini watanzania wengi hawajali kujionyesha maisha yao hata kama wako Choka Mbaya.
 
Back
Top Bottom