Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tell him bro, did he see any search from Kenya on Dangote and the so called lorries? Or Jamaa wa press up? We are concerned about serious business partners like Ethiopia and we don't want it to slide. We are interested with Humanity and that is what makes us the most generous in Africa, That is why we search for what is happening in Syria!!Isitoshe NO GVE TWO SHITS ABOUT TZ hapa juu .....as you have seen ...we have Ethiopia to worry about ...sisi si Watani wenu Nope Keep wishing!
Wewe punga! Mbona umelikomalia hili suala.Kuna hawajui yoote hii surveillance lkn kutwa nzima wamekaa kusifia Mzungu kwamba wana privacy hawajui kwamba Mzungu ana data zao zote na anazitumia, Serikali yetu ukitaka data zetu mnagoma, na kuleta maneno meengi ya kejeli na kashfa kumbe Wazungu wanawachunguza mpka nnya zenu!
Tell him bro, did he see any search from Kenya on Dangote and the so called lorries? Or Jamaa wa press up? We are concerned about serious business partners like Ethiopia and we don't want it to slide. We are interested with Humanity and that is what makes us the most generous in Africa, That is why we search for what is happening in Syria!!
View attachment 446609
Kenya are concerned about their health because their living styles have changed. Many are in offices and they need to live healthy!!
Kwani Kenya mna watani? [emoji23]Isitoshe NO GVE TWO SHITS ABOUT TZ hapa juu .....as you have seen ...we have Ethiopia to worry about ...sisi si Watani wenu Nope Keep wishing!
Kuna hawajui yoote hii surveillance lkn kutwa nzima wamekaa kusifia Mzungu kwamba wana privacy hawajui kwamba Mzungu ana data zao zote na anazitumia, Serikali yetu ukitaka data zetu mnagoma, na kuleta maneno meengi ya kejeli na kashfa kumbe Wazungu wanawachunguza mpka nnya zenu!
Ahsante Google! Kwa kubainisha watani zetu kisirisiri inaonesha hawajiamini ktk masuala mengi na wala hawajipendi muonekano wao. Siku zote tumekuwa tunawaambia hii kitu hapa barazani JF lakini walikuwa wabishi sasa mambo yote hadharani.
Ukipungiwa mkono nawe punga usitoe povuWewe punga! Mbona umelikomalia hili suala.
Hivi unaelewa nini maana ya utani? To you is all about money money and more money. Mmm kaziIsitoshe NO GVE TWO SHITS ABOUT TZ hapa juu .....as you have seen ...we have Ethiopia to worry about ...sisi si Watani wenu Nope Keep wishing!
Ha ha ha ndio vijana wetu hao.Hapo tu ndo unaponiacha hoi. Unataka picha za Wakenya wakiwa wanagoogle?
Si tayari tumeambiwa videos za bongo zinakuwa viewed zaid hapo kwenu,Halafu tumekua tukiwaambia mara nyingi Wakenya huwa hawana muda na kufuata fuata Tanzania, nafikiri Google imekujibu. Lakni leo Google wakifanya utafiti kama huo Tanzania watashangaa kuona searches kama "how to overtake Kenya" ndio zinaoongoza.
Hebu nionyeshe nini hapo cha kijinga. Hivi Google wanaifahamu Tanzania?? Just asking... Hata baada ya kufanya vituko kama kuwanywesha mbuzi beer bado hamsikiki.Si tayari tumeambiwa videos za bongo zinakuwa viewed zaid hapo kwenu,
Halafu mzee unakaa unalipia bundle mtandaoni unagoogle vitu vya kijinga namna hii, like seriously??..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hehehe!! Jinsi ya kucheza vigodoro au singeli...
Kitu ambacho nimekuja kugundua, Wakenya wanapenda sana Twitter, kwasababu Twitter unaweza kujenga picha kwamba wewe unauwezo mkubwa sana, na unaweza kwenda mpaka sayari nyingine, lakini kiuhalisia, wewe ni mtu wa chini, na unamaisha magumu ya Choka Mbaya.Hebu nionyeshe nini hapo cha kijinga. Hivi Google wanaifahamu Tanzania?? Just asking... Hata baada ya kufanya vituko kama kuwanywesha mbuzi beer bado hamsikiki.