Google yajibu: Wakenya hutaka kujua nini mtandaoni?

Google yajibu: Wakenya hutaka kujua nini mtandaoni?

Hakuna siri yeyote mataifa ya Afrika.
Tungalikua na uwezo mkubwa wa kitekinolojia labda kungekuweko ahueni.
Leo hii tunaambiwa Mrusi amedukua siri za uchaguzi Marekani,haijulikani kulikoni lakini hawa wababe tu ndio wenye uwezo wa kuweka siri japo pia yaweza dukuliwa(HACKING).
Mhabeshi anatumia miundo mbinu zote na tekinolojia ya hawa wenzetu,ikiwa ni tarakilishi,simu ya mawasiliano,mashine ,mitambo ya kielektroniki,ndege na kadhalika kwahivyo hamna kitu kama siri hapo......kwa sisi bado sana mwenzangu.
Ethiopians wameaza kubadilisha gia anganj, taratibu wanajisogeza kwa mchina. Mchina akileta dili Ethiopia anafungua milango yote, kampuni kubwa ya super market ya Marekani Walmart, walitaka kujingiza Ethiopia wakawakatalia. Tatizo waafrika hatujuwi nia ya wachina kukimbilia Afrika, wengine wanasema mchina anatafuta masoko ya baadae. Wengine wanasema mchina anawatafutia watu wake shehemu ya kuishi kwasababu huko China hawatoshi (1.3bn ppl). Wengine wanasema mchina anataka kujimilikisha rasilimali zote za duniani maana hata South America amesha jijaza huko. Wananunua mali nyingi za Europe na Canada mpaka Australia. So, hiyo ndio siri inabidi watu waitengue, kasi ya wamarekani inapungua sana. Wamarekani wamefikia mahali pale waingereza walikuwepo 1900's (fail of world kingdom), maybe the world needs another leadership, but inabidi waafrika tuanze kujitawala wenyewe, na hatuwezi kufanya hivyo tukiwa bado tunashindwa hata kuvumbuwa dawa zetu, silaha zetu au hata kuzalisha chakula cha kutosha sisi wenyewe.
 
Halafu tumekua tukiwaambia mara nyingi Wakenya huwa hawana muda na kufuata fuata Tanzania, nafikiri Google imekujibu. Lakni leo Google wakifanya utafiti kama huo Tanzania watashangaa kuona searches kama "how to overtake Kenya" ndio zinaoongoza.
Watanzania wanaoijua Kenya ni under 6%
 
Watanzania wanaoijua Kenya ni under 6%

Hata hawajatimia 2%
Wengi wenu ni kiherehere cha kujifanya mnaijua Kenya na kuwaza kuhusu Kenya kila siku. Unakuta vijiweni mnaijadili Kenya, wengine mkidhani Kenya kuna wazungu wengi zaidi ya weusi.
 
Hata hawajatimia 2%
Wengi wenu ni kiherehere cha kujifanya mnaijua Kenya na kuwaza kuhusu Kenya kila siku. Unakuta vijiweni mnaijadili Kenya, wengine mkidhani Kenya kuna wazungu wengi zaidi ya weusi.
Eh.....? Hivi wazungu sio wengi zaidi ya weusi. Umetufungua wengi macho, nilizani hata wewe Mk254 ni mzungu. Asante kwa ufafanuzi.
 
Watanzania wanaoijua Kenya ni under 6%
Hata huko Kenya ni hivyo hivyo, wale wazee wazamani wanajua Nyerere na ujamaa. Hata hilo neno ujamaa hawajui maana yake. Ukija kwa hawa 90's na 2000 wao wanajua Diamond, na Venessa Mdee tuu, zaidi ya hapo utawaumiza vichwa.
 
Hata hawajatimia 2%
Wengi wenu ni kiherehere cha kujifanya mnaijua Kenya na kuwaza kuhusu Kenya kila siku. Unakuta vijiweni mnaijadili Kenya, wengine mkidhani Kenya kuna wazungu wengi zaidi ya weusi.
Poor you, tz pangekuwa hapawafai mngepang'ang'ania?HV kwenu hakuna ajira?
 
Hata hawajatimia 2%
Wengi wenu ni kiherehere cha kujifanya mnaijua Kenya na kuwaza kuhusu Kenya kila siku. Unakuta vijiweni mnaijadili Kenya, wengine mkidhani Kenya kuna wazungu wengi zaidi ya weusi.
Exactly due to its unpopular and way backward
 
Poor you, tz pangekuwa hapawafai mngepang'ang'ania?HV kwenu hakuna ajira?
It is known world wide but not in TZ! Why? Because TZ are cocooned people who don't travel or learn. A report was posted here with a lot of tourists from UG coming to Kenya, not even a single one from TZ!! Taaban!
 
Ungeonekana wa maana kama ungesema kilicho Kenya ambacho watanzania hawajakiona. Nyumbu, twiga, tembo, mlima, watu, bahari, chakula au mauwa... ni nini hicho hatujaona? Tujuze sisi watanzania tujue tunacho kosa kukiona huko Kenya.
 
kenya-worldwide-fashion-week.jpg

Kenya always does international staff!!

Unctad.jpg

UN Gigiri
02-22-2012unepmeeting.jpg

Security%20Council%20Meets%20In%20Nairobi%20on%20the%20Situation%20in%20Sudan_0.jpg

IoREC Nairobi
iorec_meeting.jpg

TICAD
TICAD.jpg

6.jpg

ticad6nairobi-thematic2.jpg

WTO Nairobi
1031918184.jpg

All in one year!! Meaning Nairobi held visits from 78 heads of state in 2016 alone!!

Google, IBM, AVIC, Oracle, Coca Cola, Huawei, Infinix, , PwC, advertising agency WPP, Bharti Airtel, Huawei and Procter & Gamble has in the past 2 years chosen Nairobi as their Africa Headquarters!!!

Country preference on global investment
google.jpg
 
Tell him bro, did he see any search from Kenya on Dangote and the so called lorries? Or Jamaa wa press up? We are concerned about serious business partners like Ethiopia and we don't want it to slide. We are interested with Humanity and that is what makes us the most generous in Africa, That is why we search for what is happening in Syria!!

View attachment 446609

Kenya are concerned about their health because their living styles have changed. Many are in offices and they need to live healthy!!
You are concerned about humanity you once played with fire and got burned.you should take it as lesson as I see you planning to kill each other next year..cause if you keep seeing people killing each other I mean what do want to get from it?experience ,or chronic killers oooh please leave us Tanzania alone,we are happy n love each other.
 
Mr. Wanjala, Kenya Tourist Board was supposed to do all this so that more people will be aware what Kenya had to offer. But to this day, in Tanzania hakuna hata tangazo moja from KTB not on Tv, not on paper, not even on radio. Usitulaumu wakati ni board yenu ndio haitaki kujitangaza. At the same time, kuna ndugu zako hapa JF walisema, wakipata hela ya Tanzania wao wanaweza kuitupa, and you expect Tanzanias will bring their hard earned cash where no one appreciate it. (Talking about being nice to your trading partner huh!!!)
 
It is known world wide but not in TZ! Why? Because TZ are cocooned people who don't travel or learn. A report was posted here with a lot of tourists from UG coming to Kenya, not even a single one from TZ!! Taaban!
advice, reread your posts before posting,
Unajiaibisha !
 
Mr. Wanjala, Kenya Tourist Board was supposed to do all this so that more people will be aware what Kenya had to offer. But to this day, in Tanzania hakuna hata tangazo moja from KTB not on Tv, not on paper, not even on radio. Usitulaumu wakati ni board yenu ndio haitaki kujitangaza. At the same time, kuna ndugu zako hapa JF walisema, wakipata hela ya Tanzania wao wanaweza kuitupa, and you expect Tanzanias will bring their hard earned cash where no one appreciate it. (Talking about being nice to your trading partner huh!!!)
I don't think they meant it! My sister is teacher in Dar!
 
Back
Top Bottom