Gospel unazozipenda

Gospel unazozipenda

Basi huna pepo baya..labda lile la kunyanduka tuu...ambalo kimsingi ndio asili[emoji23]
😂😂 Umeanza hebu kwanza nitupie maombi kiduchu najisikia kuombewa psychologically am not okay nasubiri fire...
 
Eeh Bwana uniinue.. Kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe ..
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni eeh Bwana unitazame...![emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Imetulia Sana hii yani
 
Zangu ni za hawa watu:

Janet Otieno
Ruth Wamuyu
Sylvia Akoth
Florence Mureithi
Heroes Of Faith
Frida Archie
Marion Shako
Doudou Manengu
Paul Mwai
Size 8
Anthony Musembi
Jackson Edson Niwe Nawe
Umeinuliwa Raymond Jackson
Godwin Ombeni
 
Pepo la kunyanduana shindwa! Mtoke KENZY Umuingieee....[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848].. Taja unayemtaka liende kwake
🤣🤣 Limuingie huyohuyo pepo..😂

Haya maombezi yakomee hapa maana..🤣🤣
 
Back
Top Bottom