KAA terminates Greenfield Terminal construction project at the JKIA
Mimi ninakuambia, ninyi wakenya ndiyo sababu hamuachi kupigana, hiyo ndiyo sababu iliyotolewa na authority ya Kenya kwanini waliachana na huo ujenzi, wewe unazungumza mengine, Raila alipokuja juu kutaka kujua kwanini serikali iliamua kusimamisha ujenzi, ndiyo Uhuru akawa anapaka rangi hii sababu iliyotolewa na mamlaka husika, lakini sababu ni hiyo hapo.
Lete ushahidi wowote ule unaothibitisha haya unayoyasema kwamba Capacity ya JKIA ni 8M. Ngoja nikufunze ili uachane na ujinga wako ulionao. JKIA kabla ya kuungua moto capacity yake ilikuwa ni 2.5M, lakini ilikuwa in overstretch hadi 6M, tofautisha capacity and over capacity, ni kama gari yenye ya 5tonnes kupakia mzigo wa 7tonnes, haibadilishi kusema hilo gari capacity yake ni 7tonnes, itabaki kuwa ni 5tonnes lakini inakuwa overstretch hadi 7tonnes. Baada ya moto kutokea, jengo lililojengwa lina uwezo wa 2.5M, ukijumlisha na ile capacity ya 2.5M it makes 5M. Real capacity ya JKIA hadi sasa ni 5M, ila ukijumlisha na hizo overstretch ndiyo utafika hiyo 7.5M, lakini internatinal hiyo overstretch kawaida haihesabiki, ni sawa na uwanja wa mpira wenye capacity ya 40,000 lakini watu wanaoingia wanazidi 45,000, juu utabadilisha capacity?.
Kama una ushahidi wowote wa kuonyesha kwamba capacity ya JKIA iliongezwa kabla ya kuungua moto, kww maana ya kuongeza uwezo wake, ninaomba unipe, ila neno overstretch halina maana ya kuongeza capacity, maana yake ni to work beyond its capacity.