GPA kubwa now hazina umuhimu sana

Kwa Style Hii lazima GPA kubwa zikunyanyase Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mtoto 26 ni halali kudai bima?
 
Yaan nilivyokuwa nakesha gheto nikisoma na kufanya assignment za group mwenyew huku nikiacha kwenda club nifaulu vzr...halafu anakuja mvivu mmoja anasema nimepata kwa ujanja ujanja namshangaa sana...

Kwa nini na wew usingefanya huo ujanja na uhuni ukafaulu na kupat GPA nzr...nan asiyependa kufaulu vzr jamani..

Binafsi GPA kubwa imenisaidia sana na ukiongeza na skills nyingi nilizokuwa nazo inazidi kunipaisha mno kimaisha....


NB.
UKIWA MAHALI POPOTE JITAHIDI UACHIEVE THE BEST USIFANYE MAMBO ILIMRADI...HATA KUFAULU VZR NI PART YA MAFANIKIO YA MAISHA.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Haimaanishi kupata GPA ya 1.5 just average ila wengi wenye GPA 4 kwenda juu ni wakaririshaji tu akina John Kisomo fulani, afu wanakuwaga wabinafsi, wachoyo, na walafi, sijui kwa nini sijawahi kuwa na rafiki wa design hiyo automaticaly wakinionaga wanachagua kunichukia.
Nna GPA average na hawanitishii zao tunaperemba saresare, afu hamjuagi kujiongeza nje na elimu ya darasani ni mabogasi flani
 
Unazijua GPA za mawaziri wako????
 
Kwa uandishi huu yawezekana hata maana ya GPA huijui
 
Kwa serikalini ni sawa hata ukiwa na pass (G.P.A ya gentleman) unaweza ajirika ila kama unataka kazi zenye mishahara minono mfano kuwa mwalimu wa chuo, mashirika ya kimataifa, migodini,,,,bank zinazoheshimika hapa nchini G.P.A ni ya muhimu ,,,,taasisi zote kubwa nyingi direct entry zinasema kabisa zinataka ipper second na kuendelea
 
Ni maneno ya mkosaji tu, wewe kama ni kilaza usitafute justification hapa. Deep inside inferiority complex inakutesa sana, kiufupi wenye GPA za chini wengi vilaza tu, usitegemee utapata kazi za maana na gpa yako ya manati, labda huko halmashauri.

Vijana chuoni nawambieni kazaneni piga GPA kali uwe the best, mimi mpaka hapa maisha safi kabisa tena maisha matamu sababu ya ufaulu wangu wa chuo.

Hakuna sehemu watamuacha mtu wa GPA kubwa eti wakuchkue wewe na 2.8 yako. Never
 
Waamasishe watu wasome waelewe na wapate GPA nzuri, vyote viwili vina umuhimu kuna kazi zina limit ya GPA hata ukitaka kuendelea kimasomo kwa ngazi inayofata kuna vyuo ambavyo vinalimit ya GPA mfano kusoma masters mzumbe ni lazima uwe na angalao upper second ya 3.5, hata iyo nafasi ya kuonesha kazi unayoiongelea ili upewe kwa asilimia kubwa inabidi uwe kwanza na GPA nzuri. Wanafunzi wasome waelewe walichofundishwa kwa vitendo na pia wakazane kupata GPA vyote viwili vina umuhimu na vinategemeana
 
Nikifikiria jinsi ninavyofundisha vizuri,language skill ya kutosha kabisa na fluency yenye adabu lakini siwezi kuomba u lecturer kwa sababu ya GPA huwa naumia sana.haimanishi wenye GPA ndogo ndo wenye akili,na wote wenye kubwa nizamichongo
 
Nikifikiria jinsi ninavyofundisha vizuri,language skill ya kutosha kabisa na fluency yenye adabu lakini siwezi kuomba u lecturer kwa sababu ya GPA huwa naumia sana.haimanishi wenye GPA ndogo ndo wenye akili,na wote wenye kubwa nizamichongo
Duuuuh.....mkuu Kwan huwezi kujiendeleza?
 
Kumbe ndo huyu daa ase mwachi ni kitombilo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…