GPA ya 3.0 anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikalini?

Habari , naombeni ukweli kuhusu ilo Jambo!
KWA AJIRA ZA SASA JINSI ZILIVO USIJIAMINI SANA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA"KUJUANA KUMEZIDI" MFANO, WALIOFANYA INTERVIEW MWAKA JANA..WALIOFAULU NA WALIOFELI WOTE WAMETEMWA. SASA UNAJIULIZA HAO WALIOPATA KAZI WANAINGIA KUNDI GANI?. "YOUR DATABANK HAS EXPIRED" HAWA NDO WALIOFAULU WAMEANDIKIWA HIVO INAMAANA WALISHINDIKANA KUWA CARRYOVER KWA MWAKA UNAFUATA?. NADHANI UMEPATA MAJIBU.
 
Waliofanya interview wakatemwa wote ni interview gani hiyo? Na ilifanyika lini.
 
Habari , naombeni ukweli kuhusu ilo Jambo!
Akisoma vigezo vya kuomba hiyo kazi, ameandikiwa nini?
Kama kazi inahitaji kuwa na kuanzia 2.7 GPA au inataka aanzie 3.0 GPA basi anakidhi kufanya maombi kwa kigezo hicho.

Vilevile, ni kukosea pale unapoamini kuanzia GPA fulani ndio anapata kazi. Nina imani hawajasema wanaokota walioomba bali wanawaita kwenye interview Anayefaulu kwenye interviews ndio anaweza pata kazi. Hakuna atakayejua kama ana 3.0 au 5.0 wote ni sawa kama vigezo ilikuwa ni kuanzia 3.0 au 2.7.
 
May 29.2025 vijana wanalalamika walifaulu wakatemwa..Ass.Accounts 1.
Ni kawaida ya vijana kulalamika wakifeli interview. Mwaka jana kuna accountants kibao waliajiriwa na TAMISEMI, nenda taasisi kadhaa ukutane na watoto wa makapuku hawakuwa hata na smartphone waliajiriwa. Sasa kama hata hela ya kununua simu used ya 150k walikuwa hawana, hela ya kuhonga kupata kazi walitoa wapi na walimhonga nani?

Elezea uko wilaya gani, nikuelekeze ukaulize wapi uone kama hutakutana na accountant aliyeajiriwa mwaka jana.

Au hao jamaa wanadhani ukiwe kwenye database automatically ni lazima upewe ajira?
 
Sasa

kwa logic ya kawaida.....Inakuwaje waliofaulu na waliofeli wawekundi moja?
 
Back
Top Bottom