Unapata jitahidi interviewHabari , naombeni ukweli kuhusu ilo Jambo!
Waliwekwa kundi lipi hilo ambalo ni moja.Sasa
kwa logic ya kawaida.....Inakuwaje waliofaulu na waliofeli wawekundi moja?
Lakufeli na kukosa kazi.Waliwekwa kundi lipi hilo ambalo ni moja.
Andika kwa usahihi unachomaanisha mkuu. Sijakuelewa hilo kundi moja ambalo waliofaulu na waliofeli wamewekwa ni lipi.Lakufeli na kukosa kazi.
unafaham kuna Neno "Your Databank has Expired" "Your SCore marks below Average"? "Passed and Stored" kwenye Ajira portal waliofanya usaili wa mahojiano?..Andika kwa usahihi unachomaanisha mkuu. Sijakuelewa hilo kundi moja ambalo waliofaulu na waliofeli wamewekwa ni lipi.
Yaani kwamba watu wamefeli interview, na wengine wamefaulu. Kisha wamewekwa kundi moja. Ni kundi gani hilo na nini maana ya interview kama matokeo yanaatoka kisha waliofaulu na waliofeli wanakuwa kundi moja. Huu utaratibu umeutoa wapi, kwanza tuwe specific unasema interview zipi au za taasisi gani.
Hiki kinakinzana na kauli ya mwanzo ya waliofaulu na kufeli wanawekwa kundi moja.unafaham kuna Neno "Your Databank has Expired" "Your SCore marks below Average"? "Passed and Stored" kwenye Ajira portal waliofanya usaili wa mahojiano?..
Sasa wewe uliefaulu ukawekwa kwenye databank mwaka ukaisha mfumo ukakutema....Nayule ambaye alifeli hakufiksha wastani uliotakiwa mnafotauti gani? Ndo maana tunasema Wote ni kundi moja kwasababu wote mnaenda kuanza upya.......Hapo bado kuna dosari mkatae mkubali.....Hiki kinakinzana na kauli ya mwanzo ya waliofaulu na kufeli wanawekwa kundi moja.
Data bank unakaa mwaka mmoja tu, baada ya hapo unatoka. Hii option iliwekwa ili nafasi hiyo hiyo ambayo umefaulu written na oral ikitokea tena NDANI YA MWAKA MMOJA basi msirudie kuomba tena.
Score marks below average hili sijui linahitaji mjadala gani. Ninavyoelewa si ni mtu alifaulu ila marks ni chini ya kiwango.
Anayeajiri anataka watu labda 22 tu nchi nzima kwa intake hiyo aliyotangaza. Hajui mliosoma na hamna ajira kwa sasa ni wangapi, anaweka vigezo vyake mnaomba watu 5,680 nyote mna vigezo. Written mliopata over 50% (mliofaulu) ni 1,850 hapo anachagua pass marks za juu labda kuanzia waliopata 70% ndio waende oral. Wanaenda labda 365. Kati yao wanafaulu oral labda 120, anapangia kazi watu labda 30 badala ya 22 wa mwanzo. Wanabaki watu 335 sasa awafanye nini hawa?
How comes unasema hawa 335 wako kundi sawa na waliofeli interview. Wakati hawa wanakaa kwenye database (ambayo haimaanishi ni lazima upate ajira, ambayo vilevile haimaanishi wote watakosa). Mwaka ukiisha database inafutwa.
Mkuu ukitaka kufaulu interview achana na visingizio na lawama. Wekeza kwenye kusoma, kufanya interview, kujiamini, kuvaa vizuri siku ya oral, kujiandaa kila kitu ili baadae usilete lawama.Sasa wewe uliefaulu ukawekwa kwenye databank mwaka ukaisha mfumo ukakutema....Nayule ambaye alifeli hakufiksha wastani uliotakiwa mnafotauti gani? Ndo maana tunasema Wote ni kundi moja kwasababu wote mnaenda kuanza upya.......Hapo bado kuna dosari mkatae mkubali.....