Hizo GPA ya 5 mnapataje Nyie vitoto vya sasa? Unajua maana ya GPA 5 Points.Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
BA Kiswahili Fasihi, TEKUInategemea 4.8 ya program gani? Pamoja na chuo gani
Nafahamu!mambo yamebadilika sana; good background, more digital, more resources, kuliko enzi zetu
na chuo kutoa maksi za chini haimaanishi kuwa ndio chuo Bora; Pengine kina kosa vitu vingi; supportive katika kusoma na wawezeshaji dedicated
Jinsia ina umuhimu hapo, kama mwenye hiyo GPA ni mwanamke ujue RUSHWA YA NGONO ilihusika ndio waajiri hawaiheshimu sana. Tupambane sio lazima tuajiriwe..maisha yanaenda kwa kazi yeyote...lialia haisaidii
😂😂😂umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidiaMtu anayepata GPA ya 4.8 kwenye chio chenye reputation hata ukisema amekariri ni kwamba ubongo wake una uwezo mkubwa wa kuchakata taarifa.
Ataachwa ajipambanie,akishinda aanze kusemwa.