Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Umepiga mule mule - ndivyo wanadamu walivyo. Uzoefu wangu ni kama wako.
umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidia
Nimekuja kulamba shavu kwa juhudi zangu,mambo safi sasa naanza ona simu simu,mara naitwa kijana wetu,mara kaka.
Walikua na vijigari vyao,wamejenga vijumba wanajidai dai,nimewalipa mara mbili.
Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,sitaki ujinga