GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

Hizo GPA ya 5 mnapataje Nyie vitoto vya sasa? Unajua maana ya GPA 5 Points.

Maskini Tanzania! Ni ya chuo gani hiyo GPA?
Unashangaa chief? Ila kuipata ni possible si ndio maana ikawekwa kuwa ipo!!

Sasa Upataji wa Hiyo GPA ndio ishu mahudhulio tu Class yanakupa marks

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Amekosa hata scholarship za Ukrain?
Atafute scholarship ili aajiriwe kusoma mpaka Phd. Huyo mtu ana shida fulani au kozi alizosoma ahitajiki sana na makampuni.
Chukulia una GPA ya 5 ya Computer engineering, Mechanical,Physics, Mathematics, Chemistry au Computer science.
Vyuo vya Dunia nzima vitakutafuta, Google,Facebook,Tesla watakutafuta.
 
Hayo yalikuwa mawazo ya kizamani sana hata ulaya kuna GPA 5.0 wapo tu acheni kudanganyana nchi zilizo nying ajira ni chache kuliko wahitaji

GPA kubwa na ujuzi ni vitu tofauti sana Tena kwa tanzania unaweza nunua GPA ya 5.0 na ukawa kilaza wa kuigwa

Kuna bint nakumbuka alikuwa bingwa wa kugawa papuchi kwa ma lecturer na alitunukiwa GPA ya 4.8 lakini hata kuandika report tu hajui hata pa kuanzia

By the way, usiwadhalilishe dada zetu; mtu hawezi kugawa Papuchi akapata GPA 4.8 huo ni uongo wa wazi wazi.
Inaonesha jinsi usivyokuwa serious!
 
hayo sio mawazo ya Kizamani; Usiongee porojo za mitaani. Fanya utafiti usio na longo longo
By the way mtu hawezi kugawa Papuchi akapata GPA 4.8 huo ni uongo wa wazi wazi
Inaonesha jinsi usivyokuwa serious!
Hivi wewe unadhani hizo nchi umewahi kuishi peke yako ?kwamba wengine hatujui maisha ya huko?
 
😂😂😂umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidia

Nimekuja kulamba shavu kwa juhudi zangu,mambo safi sasa naanza ona simu simu,mara naitwa kijana wetu,mara kaka.

Walikua na vijigari vyao,wamejenga vijumba wanajidai dai,nimewalipa mara mbili.

Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,wanabaki wanasema tu.ooh eti ninadharau 😂

Ulikua huna time na mimi,na mimi sina time na wewe

Sitakagi ujinga
Safi sana. Unastahili medali
Ndio familia zetu nyingi zilivyo.
 
Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Course gani?
 
kwa Nchi za wenzetu ukisoma Chuo chenje jina ukapata hizo pass, unaombwa ubaki na kutafutiwa kazi na nyingine huenda mbali na hata kupewa Uraia wanajua umuhimu wa mchango wako kwa Taifa lao hata kama hautakuwa direct.
Huku kwetu mtu anapata GPA ya 4.8 anabaki anazurura hadi aonekane achukuliwe kunufaisha huko nje (tunasubiri kazi zitangazwe, Shame!
Ukweli ni kuwa, watu wa hizo pass wapo very serious kwa chochote atakachofanya
Hawa wako na disadvantage moka, wana pay too much attention kwa kitu kimoja wanasahau vitu vingine vya msingi kwenye maisha.

Maisha yanataka uwe Mult purpose, ujifunze vitu vingi kwa wakati mmoja. Sasa hao ni watu wanapenda kuangalia jambo moja kwa muda flani, hii ni hasara kwao.

Utafiti unaonyesha C students ama average students hufanikiwa sana kwenye maisha kuliko A students.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidia

Nimekuja kulamba shavu kwa juhudi zangu,mambo safi sasa naanza ona simu simu,mara naitwa kijana wetu,mara kaka.

Walikua na vijigari vyao,wamejenga vijumba wanajidai dai,nimewalipa mara mbili.

Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,wanabaki wanasema tu.ooh eti ninadharau [emoji23]

Ulikua huna time na mimi,na mimi sina time na wewe

Sitakagi ujinga
[emoji1787][emoji1787]wewe ni mimi kabisa wanakazi ya kuniita digrii kitaa na maskani .utaskia we digrii vipi na hivi ni sahivi ni saidia fundi wananiita fundi digrii ila najua nitatoboa tu .na watanitambua [emoji1787]
 
Kifupi mleta mada mumbeya tu hajaitaja hiyo GPA ni ya course gani na chuo gani

Nafikiriataluwa wale mafailure vyuoni wenye GPA ya chini akijifariji

Kwenye maisha penda ku perform vizuri popote unapokuwa iwe shuleni chuoni,kazini ,nyumbani nk kama uwezo unao

Kupata GPA ya chini sio sifa .Unatakiwa kila unapopita uache mark ya highest performance
 
Rais samia tunaambiwa matokeo yake ya kidato cha nne 'hayakuwa ya kuridhisha' lakin leo yeye ndio Boss wa wale wajuaji wa kila kitu
Ongeza nyama mkuu hapo kwenye hayakuwa ya kuridhisha
 
Back
Top Bottom