MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Sio kila mtu anasoma/amesoma SUA.SUA ni maksi mkuu
Vyuo vingi inaagaliwa grade, A ya 81 na ya 99 zote ni point sawa, kama wanatafuta top student, ndio wataangalia hizo marks.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anasoma/amesoma SUA.SUA ni maksi mkuu
Ni kweli nilisema tu ili watu wasidhani ni vyuo vyote grade ndo inatumikSio kila mtu anasoma/amesoma SUA.
Vyuo vingi inaagaliwa grade, A ya 81 na ya 99 zote ni point sawa, kama wanatafuta top student, ndio wataangalia hizo marks.
Bachelor of science in Mathematics and Physics-stanford university (USA)Inategemea 4.8 ya program gani? Pamoja na chuo gani
Noted....Ni kweli nilisema tu ili watu wasidhani ni vyuo vyote grade ndo inatumik
5.0 mi kwa hapa bongo sijawahi kuskia 4.8 nakubali ata udsm zinakuwepo karibu kila mwakaNoted....
Anyways, 5.0 ya Kiswahili, labda awe mshahiri.
Kwa kozi hiyo na chuo hicho sina swali.BA Kiswahili Fasihi, TEKU
Sawa,lkn punguza kujisifu.Mtoa mada buana!mtaani na maofisin hatuishi kwa GPA,Mimi Nina GPA ya 2.1 lakini pengo langu hakuna wa kuliziba ofisini kwetu ingawa wapo wenye hizo GPA za 4s.
Mwalimu unajisifia pengo lako hakuna wa kuliziba? Huna akiliMtoa mada buana!mtaani na maofisin hatuishi kwa GPA,Mimi Nina GPA ya 2.1 lakini pengo langu hakuna wa kuliziba ofisini kwetu ingawa wapo wenye hizo GPA za 4s.
Na mimi nashangaa GPA ya 5, labda computation ipo kinamna.Hizo GPA ya 5 mnapataje Nyie vitoto vya sasa? Unajua maana ya GPA 5 Points.
Maskini Tanzania! Ni ya chuo gani hiyo GPA?
😂😂😂Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,wanabaki wanasema tu.ooh eti ninadharau 😂
Mzee hii nchi kuna vichwa aisee labda kama hujakutana navyo tu, mimi sikuamini mpaka nilivyokutana na mwanafunzi ana A zote mwaka wa kwanza na wa pili!, (sasa hivi yupo mwaka wa tatu kozi ngumu tena sayansi!) asipoyumba mwaka huu wa mwisho lazima awe overallHizo GPA ya 5 mnapataje Nyie vitoto vya sasa? Unajua maana ya GPA 5 Points.
Maskini Tanzania! Ni ya chuo gani hiyo GPA?
Safi sana,[emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidia
Nimekuja kulamba shavu kwa juhudi zangu,mambo safi sasa naanza ona simu simu,mara naitwa kijana wetu,mara kaka.
Walikua na vijigari vyao,wamejenga vijumba wanajidai dai,nimewalipa mara mbili.
Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,wanabaki wanasema tu.ooh eti ninadharau [emoji23]
Ulikua huna time na mimi,na mimi sina time na wewe
Sitakagi ujinga
Kosa kubwa sana la kiufundi,Hawa vijana wanaopasi kwa alama za juu,kuanzia secondary mpaka vyuoni,ilibidi wapewe nafasi kubwa walelewe kwenye vitengo kazi wanazozitaka,au kuwafaa,wapikwe mpaka waive ndani na nje ya nchi,then wapewe nafasi wafanye maajabu baada ya kuiva,sasa li inchi letu mtu katoka chuo bado amejaa nadharia tu na anaufaulu mkubwa wanataka ajiajiri,ushenzi mtupuKwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Huo zamani tuliuita USONGO! Ni ujinga fulani uliokuwa umetuingia vichwani.Kifupi mleta mada mumbeya tu hajaitaja hiyo GPA ni ya course gani na chuo gani
Nafikiriataluwa wale mafailure vyuoni wenye GPA ya chini akijifariji
Kwenye maisha penda ku perform vizuri popote unapokuwa iwe shuleni chuoni,kazini ,nyumbani nk kama uwezo unao
Kupata GPA ya chini sio sifa .Unatakiwa kila unapopita uache mark ya highest performance
A modern HR professional doesn't rely on GPA when recruiting!Kuna baadhi ya kampuni na hata zingine zinazotoa graduate trainee programs chini ya 4.0 GPA sahau kupata maana hata mimi siamini mtu mwenye GPA ya juu ya 4.5 akawa ni mtu asiye na commitment au discipline kwa lolote atakaloligusa. Ila kwa kazi ambazo ni skills based ambazo ndio nyingi mtaani hawawezi kuangalia GPA maana haziwasaidii na kingine hizo kazi zinahitaji creativity na ule uwezo wa mtu natural zaidi kuliko knowledge ambayo mtu anayo kupitia shule
Mfano unahitaji graphic designer, marketing or IT person, GPA itaisaidia nini kampuni kama haioni kitu umedeliver ila kama ni reputable company na mmekutana wawili mnaoshabihiana vigezo na mwenzio ana GPA kubwa, hata kama wewe ni HR lazma utampa mwenye GPA
Mkuu SUA grades hutumika programs zote. Na gpa pia hutumika programs zote isipokuwa BVM ambayo ni unclassified degree.SUA ni maksi mkuu
Usikate tamaa!..push[emoji1787][emoji1787]wewe ni mimi kabisa wanakazi ya kuniita digrii kitaa na maskani .utaskia we digrii vipi na hivi ni sahivi ni saidia fundi wananiita fundi digrii ila najua nitatoboa tu .na watanitambua [emoji1787]
Unajua unachozungumza au ili mradi umeandika tu? UDOM mna matatizo makubwaGPA hazicount marks, bali grades, ie "A" inaanzia 70 and above.