GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

Mzee hii nchi kuna vichwa aisee labda kama hujakutana navyo tu, mimi sikuamini mpaka nilivyokutana na mwanafunzi ana A zote mwaka wa kwanza na wa pili!, (sasa hivi yupo mwaka wa tatu kozi ngumu tena sayansi!) asipoyumba mwaka huu wa mwisho lazima awe overall
Kupata A no kawaida ndugu,, hata Mimi nilipata pia. Lakini GPA ya 5? Do you know what it means?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Who is We?

Excelling into something is a reward in itself....

More importantly kukosa ajira zenye ujira kwa raia ni kutumia vibaya rasilimali watu kama taifa, achana na white collar jobs any kind of jobs are now scarce...
 
Mkuu SUA grades hutumika programs zote. Na gpa pia hutumika programs zote isipokuwa BVM ambayo ni unclassified degree.
Umepita hapo SUA? Mbona mnaongea vitu havipo? Ni kweli BVM Iko unclassified, lakini waliobaki GPA inatafutwa Kwa raw marks siyo Mambo ya kuangalia A ngapi, B ngapi and so on!

Uko na A za 80, Mimi Niko na A za 81 GPA lazima itofautiane! Ndiyo maana tunahoji GPA ya 5 mnazipataje huko kwenu?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusoma page moja Instagram inaitwa Donapa Group ilieleza kuwa Hawa watu wanahitaji kujiongeza kwenye emotional intelligence ili kufanikiwa
 
Rais samia tunaambiwa matokeo yake ya kidato cha nne 'hayakuwa ya kuridhisha' lakin leo yeye ndio Boss wa wale wajuaji wa kila kitu
Wanaposema sio ya kuridhisha wanamaanisha nini?
 
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Mwambie aingie CCM kule atakula shavu bila GPA
 
Sasa mtu Kama Mbunge musukuma anatunukiwa Doctorate unataka tumpeleke wapi ?

Vyuo vyenyewe ndio hivi vya Global college na udom.

Na wanafunzi ndio Hawa tuko nao mtaani hawawezi hata kuandika barua za kazi.

Elimu yetu ni mbovu sana mtu anafaulu kwenye makaratasi ila kwenye maarifa hamna kitu. Chukua wanafunzi walau 10 waliomaliza degree waambie waandike CV na Barua ya kuomba kazi halafu urudi hapa.
Mbona ni vitu viwili tofauti mtu anasoma pure sciences cource sasa atajuaje kuandika barua ya kazi au CV mpaka ajifunze mkuu
 
GPA sio kitu kwenye soko la ajira japo ni muhimu kuwa nayo kubwa kuna jamaa alikuwa na 4 kamili mwingine 2.9 kwenye interview pale utumishi huyo wa 4 hata maswali hajamaliza paper zimekusanywa

Yule wa 2.9 alipata 60 ile paper akaleta uswahili mwingin na oral katoboa pia akaajiriwa mapema huyo wa 4 hata writtne alifel alipara 40 na kitu
 
Mkuu SUA grades hutumika programs zote. Na gpa pia hutumika programs zote isipokuwa BVM ambayo ni unclassified degree.
SUA Mwenye , 75 au na 80 hawa ni watu wawili tofauti japokuwa inaonekana kam ni A lakini cheki GPA utastuka . Inaweza mwengine akawa na plus nyingi akaingizaA mbili za maana ww mwenye A nyingi lakin ndogo unapitwa😂 unaweza dhani wamempendelea ila sio
 
Umepita hapo SUA? Mbona mnaongea vitu havipo? Ni kweli BVM Iko unclassified, lakini waliobaki GPA inatafutwa Kwa raw marks siyo Mambo ya kuangalia A ngapi, B ngapi and so on!

Uko na A za 80, Mimi Niko na A za 81 GPA lazima itofautiane! Ndiyo maana tunahoji GPA ya 5 mnazipataje huko kwenu?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nimestuka kwe kweli inamana huyo mtu alikiwa anapata atleast above 95% kwa modules zote mpaka anamaliza chuo.na ni koz gani hiyo ?
 
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?

Una GPA ya 4.8 au 5, mazingira/jamii uliyopo imeshindwa kuku- accommodate nawe umeshindwa kupambana na mazingira. Wote mnabeba msalaba yaani mhusika vs jamii/mazingira, ila mwenye GPA yake abebe msalaba zaidi kwani yeye anatakiwa kuwa suluhisho kwa mazingira yake na si mazingira kuwa suluhisho kwake.
 
Ana uwezo wa kuitumia G.P.A yake kufanya uvumbuzi wowote kutokana na Facult yake na changamoto zinazomzunguka.
 
My dear friend,Lecture wetu alipenda kutwambia kwamba "the school life is not real life"nowdays kama huna wa kukubeba your GPA has nothing to do until you fight on your own,watu pia lazima tujue mambo yanabadilika ikiwa ni pamoja na population,na sababu zingine zamani vyuo vilikuwa vichache,wahitimu pia nao walikuwa wachache nowdays watu wengi wako universities na wenye hizo GPA wapo wa kutosha,sasa muhimu ni kujua maisha yashabadilika
 
Back
Top Bottom