Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Jitahidi sana ubadilishe Mindset yako. DUNIA imebadilika sana. GPA sio tena kipimo cha uelewa na kigezo kinachozingatiwa kwenye Non Academic Sphere. Na sasa hivi ukionekana unashupalia hayo mambo ya GPA wewe ni mshamba. Kuna vijana mjini hapa wameajiriwa na wanalipwa Millions na sio sababu ya GPA ila ni sababu ya nini wanachodeliver na kusolve.Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Kwa kifupi naomba tu nikwambaie acha ushamba