Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh..!! mjomba hiyo ya 5.5 ndo naiskia kwako leo hii pamoja na uzee wangu huu. Kumbe Tanzania tumefika huko..!!?
Naona matangazo ya kuongeza elimu, kazi n.k eti GPA sijui above 3.8, wengine 4.0 n.k n.k
Sasa swali langu je ni ya chuo gani? kwasababu kuna vyuo unaanza mpaka unamaliza hakuna mtu aliwahi kupata GPA ya 4 mifano tunayo ,na kuna baadhi ya vyuo yaani watu wameishia GPA ya 4.0, ukiangalia GPA zao ni vichekesho eti 4.9, 4.8 siuji 4.7 ambayo mimi na U T.O wangu siwezi kwa hiki chuo nilichopo. Elimu ya chuo kikuu bongo ya kijinga kungekua na TCU examinations watu washindane GPA ila sio uhuni wengine wanapewa wengine wananyimwa.
Yaani ni sawa necta zisingekuwepo halafu unachagua watu kwenda Form Five kuangalia matokeo ya shule zao ya terminal unaweka cuuttpoint kabisa kuanzia 75,na wakati kila shule ilifanya mtihani wake .Nazungumza hivi kwasababu kuna shule wastani utakuta wanaanzia 65 wengine 95 n.k
Hakuna elimu mbovu kama ya chuo ,unfair.. elimu form IV tu na six huku kwingine mbwembwe ,ngoja na mimi nianzishe chuo changu wanafunzi GPA zao hazitakua chini ya 4.5 wote wawe na vigezo muhimu .
Ninachokijua mimi binafsi ni kwamba mitihan yote ya final (UE) inakaguliwa na external examinors lakin baada ya mtihan kufanyika!, labda sasa TCU waanzishe utaratibu wa kufanya hivo before,ili kuondoa hizi superiority complex na kubezana eti kwasababu huyu kakosa gpa ya 5.0 kwaajil ubora wa chuo chake na yule kapata 5.0 kwaajili ya ubovu wa chuo chake. NOTE: MJADALA HUU NI MPANA SANA NDUGU ZANGU!asante mkuu, unajua kuna wakufunzi wanatunga mtihani kama wa kukomoa wanafunzi na kuna wengine wanatunga mtihani chini ya standard. Ni vyema tcu wakawa wanapelekewa mitihani ili kuifanyia aproval kabla wanafunzi hawajaifanya. Kile kitengo cha tcu kinachohusika na mitaala(sylubus) kihusike pia kuhakikisha kama mtihani uliotolewa unakidhi mtaala husika na ni kipimo sahihi cha kumpima mhusika.
Upande wa pili vyuo navyo viwe strick kwa habari ya uuzaji wa mitihani na paper leakege, maana tcu wanaweza kuwa wanatelekeza hayo ila walimu wanauza/wanavujisha mtihani.
Tukifanikiwa hapo hata kama mtu amepewa course work isiyo halali yake atajikuta akiambulia tech sup itakayompa gpa iliyo halali yake
We kuwa na GPA ya 10, wakati unapewa lift na Diamond.
Ninachokijua mimi binafsi ni kwamba mitihan yote ya final (UE) inakaguliwa na external examinors lakin baada ya mtihan kufanyika!, labda sasa TCU waanzishe utaratibu wa kufanya hivo before,"
Mkuu umeona ee! Lazima tcu wakague mitihani ili waiaprove kuwa imekidhi mahitaji kulingana na sylubus husika na ni kipimo sahihi.
Tambua kuwa wanafunzi karibu nusu ya wanaofeli si kwamba ni vilaza ila walimu wanahusika pia ktk kutunga mitihani isiyokuwa kipimo sahihi kwa wahusika
Acheck kwanza prospectus ndio aseme ni 4.4 au 4.5 coz najua 1st class n above 4.5 so hyo ya 4.4 tunaitaji muongozo hapo
kuna tetesi kuwa SAUT watu huwa hawa disco hata kama ume surp masomo yote, wakat MU uki surp manne usha disco,
angepata angeshasema itakua kasikia tu watu wanapata...4.0 mchezooo CC za range rover hizoo..!!wewe umepata hyo gpa au unaomba maiti damu
Umeongea ukweli UDSM gpa wanatubania, nenda SAUT , ST.JOSEPHY gpa wanapewa tu
UDSM na matawi yake unapata GPA hata 4.9 but lazima usome sana tofauti na Vyuo vingine kama Tumaini au RUCO ambapo mwanafunzi akifeli tu mwalimu hana kazi na anaweza kuwa na SUPP lakini wakubwa wakamchomoa tofauti na UDSM na ndiyo maana chuo hiki ni BORA ni cha NNE AFrica.
LINK Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking
Ninachokijua mimi binafsi ni kwamba mitihan yote ya final (UE) inakaguliwa na external examinors lakin baada ya mtihan kufanyika!, labda sasa TCU waanzishe utaratibu wa kufanya hivo before,ili kuondoa hizi superiority complex na kubezana eti kwasababu huyu kakosa gpa ya 5.0 kwaajil ubora wa chuo chake na yule kapata 5.0 kwaajili ya ubovu wa chuo chake. NOTE: MJADALA HUU NI MPANA SANA NDUGU ZANGU!