BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well.
Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya vizuri.
Graduate wa nchi zingine ni Bomu kwa Serikali zao na Serikali za hizo nhi huwa wanakosa usingizi kwa sababu ya Vijana wasio kuwa na kazi. Hapo Kenya au Uganda Vijana wasio kuwa na kazi muda wowote huwa wanakinukisha.
Tanzania Vijana wasio kuwa na ajira sio tatizo kwa Watawala kabisa na hawana hatari yoyote ile na hawawakoseshi watawala usingizi, kikubwa Yanga na Simba zinafanya vizuri.
Ndio maana Mama kuliko aumize kichwa kutatua tatozo la ajira yeye kawekeza sana kununua magori na kununulia mashabiki tiketi za kuingia uwanjani na vijana kweli wana ridhika na wako sawa kabisa.