Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Mkuu kujipendekeza Ni kitu rahisi Sana ila Ni kitu kigum Sana aisee asikwambie mtu Tena kujipendekeza kwa Mwanaume mwenzio ...!Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!
Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
[emoji23][emoji23] connection na unafiki vinaendanaHahahahah ni ngumu kwa kweli! Wlambwa matako ndio wanaezaga hizi mbishe
Unapiga nyeto unamaliza nguvu za kunyanyua tofaliNi mwendo wa nyeto tu hakuna kutongoza maana huna hela.
Ukifa unafika kabulini malaika wanakuonesha matendo yako ya duniani ni mzambi unaanza kupewa azabu.Baada ya wiki lile bando linaisha,
unaamua ku hide last seen ya whatsapp,
Nywele ulizokuwa ukizitunza kwa garama unanyoa.
Unafikiria kazi ya kufanya unagundua hauna mtaji na uzoefu, unachoka
Unauza simu, unafuga kuku na wanakufa wote[emoji23][emoji23]
Unakosa dira, unaamua kuwa rough.
Unabadilika rangi ya ngozi na unakufa[emoji23][emoji23]
Hahahahahah utafanyaje sasa na unatafta maisha!Mkuu kujipendekeza Ni kitu rahisi Sana ila Ni kitu kigum Sana aisee asikwambie mtu Tena kujipendekeza kwa Mwanaume mwenzio ...!
Unapewa adhabu zinazidi kiwango unakufa tenaUkifa unafika kabulini malaika wanakuonesha matendo yako ya duniani ni mzambi unaanza kupewa azabu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] na dhambi nyingi unaona kabisa ulifanya ukiwa chuo.Ukifa unafika kabulini malaika wanakuonesha matendo yako ya duniani ni mzambi unaanza kupewa azabu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hii ni kweli...ndo maana nampenda sana braza angu, yaan alihakikisha anakomaa na mimi mpaka napata kazi[emoji848]...wengine walilala mbeleHome wanaanza kukutenga tenga flani hi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Unawaza kazi kuliko muumba wa mbingu na ardhi
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]Mi nilianza kujikomba kwa bro,
Nikawa nambrashia viatu vyake,
Nikawa naosha gari yake, nikikuta silesile na fegi nachukua, sometimes vikonyagi vimesalia siviachi salama,
Nikisikia honi anavorudi, nawahi getini kumfungulia, na lazima nimpige ngeo,
Mungu ni mwema nikaja kuotea mchongo, nikasahau zile shida hata bando la jero utata, ikawa ni kuwabandua tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijikomba unapoteza urijali na uanaume ishi kiuhalisia!Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!
Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!Hongera mkuu! Heshima na utu huwa unapotea kabisa kipindi ukiwa dead broke hata nzi wanaweza kuja kubanduana juu ya utosi wako na hamna kitu utafanya[emoji23]
Mkiona wazee wanagombania nafasi za kubaki ofisini na kufoji miaka ndio muelewe! Its not easy being broke
[emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] haahaaahaaMe baada ya kugraduate nilipata kazi kwenye NGO flani, miezi miwili badae kazi imaisha. Nikasugua bench hadi akiba ikaisha. Nikawa beach boy, daily bahari beach kuogelea. Nikapata marafiki wavuvi, nikahifunza uongo maana hakuna watu waongo kama wavuvi.
Anakudanganya wazi eti aliwahi kuona jini limesimama juu ya maji
Nilichakaa vibaya sana. Nikabaki na pens moja, suruali moja na tshirt mbili. Nguo nyingine ziliisha.
Uko kama mimi mkuuTatzo sio kila mtu anaweza kujikomba. Sie wengne hata ile kumsalimia salimia mtu kila mda tunaonaga n vgumu.
Kwamba jua halikuonei huruma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!
Ukiwa broke hata jua linakupiga kihasira yaan, linakuchoma double double kukumbusha kuwa ununue gari au nitakuunguza hadi mbupu[emoji38]
HaaahaaahaaaBaada ya wiki lile bando linaisha,
unaamua ku hide last seen ya whatsapp,
Nywele ulizokuwa ukizitunza kwa garama unanyoa.
Unafikiria kazi ya kufanya unagundua hauna mtaji na uzoefu, unachoka
Unauza simu, unafuga kuku na wanakufa wote[emoji23][emoji23]
Unakosa dira, unaamua kuwa rough.
Unabadilika rangi ya ngozi na unakufa[emoji23][emoji23]
Usiseme kujishikiza, ukute ndo nitolee hivo[emoji848]Tunajiunga kwenye makampuni ya, ulinzi, kujishikiza tu
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app