Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!

Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
Mkuu kujipendekeza Ni kitu rahisi Sana ila Ni kitu kigum Sana aisee asikwambie mtu Tena kujipendekeza kwa Mwanaume mwenzio ...!
 
Baada ya wiki lile bando linaisha,
unaamua ku hide last seen ya whatsapp,
Nywele ulizokuwa ukizitunza kwa garama unanyoa.
Unafikiria kazi ya kufanya unagundua hauna mtaji na uzoefu, unachoka
Unauza simu, unafuga kuku na wanakufa wote[emoji23][emoji23]
Unakosa dira, unaamua kuwa rough.
Unabadilika rangi ya ngozi na unakufa[emoji23][emoji23]
Ukifa unafika kabulini malaika wanakuonesha matendo yako ya duniani ni mzambi unaanza kupewa azabu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa unakunywa Kilimanjaro sasa Kilimanjaro yako itakuwa ni double kick ama smart gin... embassy inakuwa Winston...

Poleni sana Mimi nimeteseka miaka miwili tu toka 2019-2021 allhamdullah nikapata kibarua japo mambo bado ni tight Ila nashukuru Ile kuomba omba pesa kwa mtu imeisha now ni kupambana tu na hali yangu
Screenshot_20211016-090109.jpg
 
Ukifa unafika kabulini malaika wanakuonesha matendo yako ya duniani ni mzambi unaanza kupewa azabu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] na dhambi nyingi unaona kabisa ulifanya ukiwa chuo.
Anasimama malaika anakusomea dhambi ya kwanza ulikula tunda kimasihara, af anaclick laptop ilounganishiwa projector unaona kitu kinadisplay.

Unaanguka unazimia
 
Mi nilianza kujikomba kwa bro,

Nikawa nambrashia viatu vyake,

Nikawa naosha gari yake, nikikuta silesile na fegi nachukua, sometimes vikonyagi vimesalia siviachi salama,

Nikisikia honi anavorudi, nawahi getini kumfungulia, na lazima nimpige ngeo,

Mungu ni mwema nikaja kuotea mchongo, nikasahau zile shida hata bando la jero utata, ikawa ni kuwabandua tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
 
Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!

Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
Ukijikomba unapoteza urijali na uanaume ishi kiuhalisia!

Binafsi sipendi kujikomba hata nilivyokuwa na shida
 
Hongera mkuu! Heshima na utu huwa unapotea kabisa kipindi ukiwa dead broke hata nzi wanaweza kuja kubanduana juu ya utosi wako na hamna kitu utafanya[emoji23]

Mkiona wazee wanagombania nafasi za kubaki ofisini na kufoji miaka ndio muelewe! Its not easy being broke
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!

Ukiwa broke hata jua linakupiga kihasira yaan, linakuchoma double double kukumbusha kuwa ununue gari au nitakuunguza hadi mbupu[emoji38]
 
Me baada ya kugraduate nilipata kazi kwenye NGO flani, miezi miwili badae kazi imaisha. Nikasugua bench hadi akiba ikaisha. Nikawa beach boy, daily bahari beach kuogelea. Nikapata marafiki wavuvi, nikahifunza uongo maana hakuna watu waongo kama wavuvi.

Anakudanganya wazi eti aliwahi kuona jini limesimama juu ya maji

Nilichakaa vibaya sana. Nikabaki na pens moja, suruali moja na tshirt mbili. Nguo nyingine ziliisha.
[emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] haahaaahaa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!

Ukiwa broke hata jua linakupiga kihasira yaan, linakuchoma double double kukumbusha kuwa ununue gari au nitakuunguza hadi mbupu[emoji38]
Kwamba jua halikuonei huruma[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya wiki lile bando linaisha,
unaamua ku hide last seen ya whatsapp,
Nywele ulizokuwa ukizitunza kwa garama unanyoa.
Unafikiria kazi ya kufanya unagundua hauna mtaji na uzoefu, unachoka
Unauza simu, unafuga kuku na wanakufa wote[emoji23][emoji23]
Unakosa dira, unaamua kuwa rough.
Unabadilika rangi ya ngozi na unakufa[emoji23][emoji23]
Haaahaaahaaa
 
Back
Top Bottom