Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Mkuu kujipendekeza Ni kitu rahisi Sana ila Ni kitu kigum Sana aisee asikwambie mtu Tena kujipendekeza kwa Mwanaume mwenzio ...!Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!
Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!