Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Ile unatoka zako chuo unarudi nyumbani mwezi wa kwanza unapita kuna vitu vinaanza kutokea.
1. Usb yako inakufa
2. Sendo zinakatika
3. Jeans yako pendwa inachanika
4. Cadet zinapauka
5. Unaachwa na mpenzi wako.
Tuongeze vingine vingine
smartphone yako inakufa
ushajmaliza mwendo
 
Nikisoma posts za wadau nazidi kumshukuru Mungu. Naomba tu anisamehe kama kuna muda nanung'unika. Kiukweli sijapitia 80% ya waliyopitia wadau. Sijapata kazi na sina mpango wa kupata kazi lakini Mwenyezi hanisahau kamwe. Nimejiajiri mtaji wangu ni computer, router na internet bando.
 
Kitu nilichojifunza katika maisha yangu ni kuwa hamna mtu mwenye kipaji, kila mtu anafika mbali kwenye kitu alicho na interest nacho. Wakuu tafuteni kitu kinachowapa passion, jiendelezeni hata 1.5 years, hapo utakuwa umepata ujuzi na mtu atakuwa tayari kukupa pesa umfanyie kazi. Hii itasaidia kuwapa connection kama mtakuwa watu wa mitandaoni sana.
 
Unamaanisha nin sasa
 
Acha kabisa yani life ni kisanga
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!

Ukiwa broke hata jua linakupiga kihasira yaan, linakuchoma double double kukumbusha kuwa ununue gari au nitakuunguza hadi mbupu[emoji38]
Hahahahahaha yani inatesa sana hio hali na hamna kitu utafanya😂!!!
Jua be like, nunua gari ntakuua wewe fala 😂
 
Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!

Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
Weweeeew.. whose gonna lick someone's booty? Weuweeeee... hizo kazi hatufanyi wengine. Ndo huko2 uombwe mbususu with no alert... hataaa...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Unafanyajee mkuu!!? Nipe abc kidogo unaweza kuokoa maisha ya wengi mkuu
 
Mkuu upo kama Mimi hayo ndo maisha yangu, tofauti yangu mi na wewe, mi bado nipo chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…