Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Pixel 4 yangu ikafa display , apa na itel ....
... Balaa
Balaaa.
.siombi kaZi wala nn najiajiri..
Mtaji mtaji mtaji..
Noma sana.
image_06d7eec9-09bf-4a7f-aa49-100a98afd43820211026_181216.jpg
 
Ile unatoka zako chuo unarudi nyumbani mwezi wa kwanza unapita kuna vitu vinaanza kutokea.
1. Usb yako inakufa
2. Sendo zinakatika
3. Jeans yako pendwa inachanika
4. Cadet zinapauka
5. Unaachwa na mpenzi wako.
Tuongeze vingine vingine
smartphone yako inakufa
ushajmaliza mwendo
 
Nikisoma posts za wadau nazidi kumshukuru Mungu. Naomba tu anisamehe kama kuna muda nanung'unika. Kiukweli sijapitia 80% ya waliyopitia wadau. Sijapata kazi na sina mpango wa kupata kazi lakini Mwenyezi hanisahau kamwe. Nimejiajiri mtaji wangu ni computer, router na internet bando.
 
Kitu nilichojifunza katika maisha yangu ni kuwa hamna mtu mwenye kipaji, kila mtu anafika mbali kwenye kitu alicho na interest nacho. Wakuu tafuteni kitu kinachowapa passion, jiendelezeni hata 1.5 years, hapo utakuwa umepata ujuzi na mtu atakuwa tayari kukupa pesa umfanyie kazi. Hii itasaidia kuwapa connection kama mtakuwa watu wa mitandaoni sana.
 
Nikisoma posts za wadau nazidi kumshukuru Mungu. Naomba tu anisamehe kama kuna muda nanung'unika. Kiukweli sijapitia 80% ya waliyopitia wadau. Sijapata kazi na sina mpango wa kupata kazi lakini Mwenyezi hanisahau kamwe. Nimejiajiri mtaji wangu ni computer, router na internet bando.
Unamaanisha nin sasa
 
Stress ni mbaya sana!

Unalala mchana,jua kali na shuka unajifunika! Ukiamka huna hata mia mfukoni! Unatembea na cheep ya line tu,unaomba simu kwa wana uweke cheep,walau uweze kuwa beep masela! Unabeep msela hapigi,anakuja kupiga baada ya masaa mawili haupo hewani! Kesho tena unawacheki wengine,home hapakaliki! Mbaya zaidi unaishi kwa Dada, shemeji hakuelewi, au unaishi kwa brother,shemeji anakupa vikazi vyakukukera,ugome amwambie Mme wake unamdharau kiwake! Maisha ni duara leo hii na sisi tuna familia,watoto wanasoma, nyie acheni Mungu aitwe Mungu!
Acha kabisa yani life ni kisanga
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!

Ukiwa broke hata jua linakupiga kihasira yaan, linakuchoma double double kukumbusha kuwa ununue gari au nitakuunguza hadi mbupu[emoji38]
Hahahahahaha yani inatesa sana hio hali na hamna kitu utafanya😂!!!
Jua be like, nunua gari ntakuua wewe fala 😂
 
Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!

Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
Weweeeew.. whose gonna lick someone's booty? Weuweeeee... hizo kazi hatufanyi wengine. Ndo huko2 uombwe mbususu with no alert... hataaa...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nikisoma posts za wadau nazidi kumshukuru Mungu. Naomba tu anisamehe kama kuna muda nanung'unika. Kiukweli sijapitia 80% ya waliyopitia wadau. Sijapata kazi na sina mpango wa kupata kazi lakini Mwenyezi hanisahau kamwe. Nimejiajiri mtaji wangu ni computer, router na internet bando.
Unafanyajee mkuu!!? Nipe abc kidogo unaweza kuokoa maisha ya wengi mkuu
 
Nikisoma posts za wadau nazidi kumshukuru Mungu. Naomba tu anisamehe kama kuna muda nanung'unika. Kiukweli sijapitia 80% ya waliyopitia wadau. Sijapata kazi na sina mpango wa kupata kazi lakini Mwenyezi hanisahau kamwe. Nimejiajiri mtaji wangu ni computer, router na internet bando.
Mkuu upo kama Mimi hayo ndo maisha yangu, tofauti yangu mi na wewe, mi bado nipo chuo.
 
Back
Top Bottom