Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Unafanyajee mkuu!!? Nipe abc kidogo unaweza kuokoa maisha ya wengi mkuu
Kuna kazi nyingi mtandaoni wewe tafuta kazi utakayoifurahia kuifanya, tumia hata mwaka mzima kujifunza kila siku, hata mwaka mmoja na nusu, huku ukiendelea kuangalia connection. Ukijiona upo vizuri anza kupiga kazi.
Mimi nimejifunza graphic designing na digital art miaka kama 8 iliyopita kabla ya kwenda chuo, instagram ndiyo sehemu yangu ya biashara. Vilevile natengeneza Hip Hop beats nauza, kuna Dada mmoja nimekutana naye insta ananisaidia sana kupata wateja, namtumia samples na beats then napata malipo.
Kutengeneza HipHop beats nimeanza mwaka jana tu, na kikubwa nilichojifunza ni Music theory na mixing na ndiyo imekuwa kama backbone ya kutengeneza kazi nzuri.
 
Huu ndio wakati kichwa kinawaza business idea&plan nzuri 😃...
 
Hahahahah kuna ndugu hawawezi kumsaidia mtu yani yupo radhi akupige bata ila sio akupe mchongo! Ndugu wa aina hio huwa nawakwepa kama ukoma yani!

Mademu ni kweli kuna wanaochezea free kende bila mpango wa kazi kukamilika yani!
witnessj i remember that case
 
Binafsi nawahurumiaga sana wadada, ukute ramani zmemkalia pabaya, kamalza chuo, no connection, hakuna wa kumkingia kifua, akitaka kujipambania anachakatwa mbususu na kuachwa njiapanda, doh!!![emoji22][emoji22][emoji22]

Hadi nakosa nguvu ya kuendelea ku type.

Mungu awape wepesi kwa kweli.
 
Yaani acha kabisa,wadada wanapitia mambo mengi sana! Demu wa jamaa yangu alichakatwa mbususu na kazi hakupata,jamaa akamtema! Demu siku hizi kawa seller mzuri tu,maana anataka maisha mazuri,lakini hana pesa!
Dem mwenye tamaa achakatwe tu, no way.
Maana vizuri vyahitaji pesa, na kuipata pesa bila kuchakatwa n kipengele kwa madem walio wengi.
 
Jamaa hakuliona hilo! Yeye bata tu na yeye
 
Kujikomba ndio njia pekee na nyepesi ambayo unaweza kuitumia kuchomoka kimaisha kwa hali ya sasa ilivyo!

Jipendekeze kwa watu wenye connection kubwa hutakosa pa kupachikwa hata ikiwa sio leo wala kesho ila in a long run utatoboa!
Amini mkuu uchawa ndio option pekee Bora ukifika hio stage,piga uchawa mwingi Yani hule first class mambo yakianza kukaa sawa temana.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] wazee wanasema tukajiajiri mamaaae!

Ukiwa broke hata jua linakupiga kihasira yaan, linakuchoma double double kukumbusha kuwa ununue gari au nitakuunguza hadi mbupu[emoji38]
mara unatembea juani unahisi harufu ya nyama choma kumbe ni mbupu zinaungua😂
 
Naomba data plan yako na router gani unatumia. Sijajua nichukue ya mtandao gani speed na bei nafuu, desktop nnayo. Huu uzi unanitisha ila nishajipanga hakuna kulialia graduate mtarajiwa.
 
Daah kudadadeq[emoji1][emoji1][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…