Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Baada ya kuchakaa sana na mtaa,heshima home inashuka kwa kasi, madogo hawakuheshim tena,unaifikiria miaka yako mingi uliyoipoteza shule.
Unaiangalia gpa yako kali uliyoidotea chuo na kwauchungu sana unachukua tecno yako iliyopasuka kioo na kutype JF “natafuta kazi yeyote halali”.
Kutokana na kwamba uko broke unaandika vitu visivyoeleweka na detail chache kukuhusu.
Basi wanabodi walivyo na roho mbaya wanacomment ‘ngoja niwahi siti ‘ au ‘ngoja waje wakupe mwongozo’.


Aisee maisha haya omba yadikukute asee[emoji23]
Oyaaaaa wanakuuliza kabisa we ndio unalidegree

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Me baada ya kugraduate nilipata kazi kwenye NGO flani, miezi miwili badae kazi ikaisha. Nikasugua bench hadi akiba ikaisha. Nikawa beach boy, daily bahari beach kuogelea. Nikapata marafiki wavuvi, nikajifunza uongo maana hakuna watu waongo kama wavuvi.

Anakudanganya wazi eti aliwahi kuona jini limesimama juu ya maji

Nilichakaa vibaya sana. Nikabaki na pens moja, suruali moja na tshirt mbili. Nguo nyingine ziliisha.

[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75] interesting
 
Aliyeko Chuoni hawezi ona haya.
Kila mtu anaamini akimaliza Chuo atapata tu Mchongo wa kufanya. Baada ya muda ndio uhalisia unajidhihirisha.

Hata wale wadada wajasiriamali vyuoni huwa wanaacha.
 
Baada ya kuchakaa sana na mtaa,heshima home inashuka kwa kasi, madogo hawakuheshim tena,unaifikiria miaka yako mingi uliyoipoteza shule.
Unaiangalia gpa yako kali uliyoidotea chuo na kwauchungu sana unachukua tecno yako iliyopasuka kioo na kutype JF “natafuta kazi yeyote halali”.
Kutokana na kwamba uko broke unaandika vitu visivyoeleweka na detail chache kukuhusu.
Basi wanabodi walivyo na roho mbaya wanacomment ‘ngoja niwahi siti ‘ au ‘ngoja waje wakupe mwongozo’.


Aisee maisha haya omba yadikukute asee😂
Hahahahaaa.....aloooooo
 
uni.jpg
 
Picha linaanza mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo nikapata tuition center flan kufundisha wanafunzi wa O level na advance wachache wale wanaosoma topics specifically.

Huo mchongo nimekaa nao kama two months madogo wakaanza kusumbua kulipa, huku na kule vuta nikuvute nikaona nikifanya masihara hata ugali utakosekana magetoni.

Kuna jamaa yangu flan alitokaga village huko akaja hapa town ni fundi mwashi, nikaona isiwe tabu nikainua uzi bro vipi kazi zinapatikana? Jamaa akasema kazi zipo mdogo wangu lakini kazi zangu mi ngumu utaziweza??

Nikamwambia niko fit, akaniambia kesho asubuh na mapema timba kuna site mahala flan huku Temeke.

Mapema sana mimi huyo, nikawa saidia fundi, mzigo unapigwa jua lote unakimbia na tofali na kuchanganya cement. Jioni hesabu yangu 10K.

Nikarudi magetoni nimechoka haijapata kutokea tangu dunia iumbwe, kila sehemu ya mwili inauma siwezi kuelezea.

Kesho asubuh nikawahi tena, jioni nina 10K chaap, kazi ziliendelea kupatikana nikawa na uhakika wa ugali na mboga, hata babe wangu akija nina uhakika wa kumpa nauli

Maisha haya...... Mungu tusaidie tu ukimaliza chuo hata wanandugu hawana habari nawewe unaonekana unaleta usumbufu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa namshukulu sana Mungu!! Asee

Japo Ndo Naingia kuisaka bachelor!!!
Sijachelewa sana!! Now 20's...

Nilipata mchongo nikiwa na 20 years!!! ...nazama kwa Government!!!!

Zaman sikuona thaman yake! Nadhan umri pia ulichangia!! Lakin Leo hii ndo naiona thaman yake:

Imagine namaliza form four tu!! Hata sikukaa sana kitaa!!.... Na wale!! Walioenda six!! Mpka degree!!!
Now day wengi nawapa company [emoji849]

Cha msingi mola ndo anaepanga!! Sis kama vijana kukata tamaa Ni mwiko:
 
Hahahahah hio imetushinda wengi! Kuna mtu aliwahi kunishauri hilo ila tuliishia kuvunja urafiki tu😂😂😂 biashara ya kumlamba mtu masaburi siiwezi

Weweeeew.. whose gonna lick someone's booty? Weuweeeee... hizo kazi hatufanyi wengine. Ndo huko2 uombwe mbususu with no alert... hataaa...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 Masaburi Mbususu ila JF bhana nimecheka sana wakuu
 
Back
Top Bottom