entry
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 286
- 539
- Thread starter
- #121
Oyaaaaa wanakuuliza kabisa we ndio unalidegreeBaada ya kuchakaa sana na mtaa,heshima home inashuka kwa kasi, madogo hawakuheshim tena,unaifikiria miaka yako mingi uliyoipoteza shule.
Unaiangalia gpa yako kali uliyoidotea chuo na kwauchungu sana unachukua tecno yako iliyopasuka kioo na kutype JF “natafuta kazi yeyote halali”.
Kutokana na kwamba uko broke unaandika vitu visivyoeleweka na detail chache kukuhusu.
Basi wanabodi walivyo na roho mbaya wanacomment ‘ngoja niwahi siti ‘ au ‘ngoja waje wakupe mwongozo’.
Aisee maisha haya omba yadikukute asee[emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app