Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Yaani acha kabisa,wadada wanapitia mambo mengi sana! Demu wa jamaa yangu alichakatwa mbususu na kazi hakupata,jamaa akamtema! Demu siku hizi kawa seller mzuri tu,maana anataka maisha mazuri,lakini hana pesa!
TNG Squad - BONGO.COM:

Kuna mahali jamaa anaimba:

Kama we ni demu, kimwili utachezewa! Utachezewa hata kama umeolewa!

Aliusema huu mstari kwa ukali na msisitizo wa kuonyesha anauhakika a anachoongea. Baadae nilikuja kugundua kuwa jamaa hakukosea kabisa. Daah.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
Siku hizo ilikuwa ni utata,

Bwiru-Mwanza,

Asubuhi moja nikawahi kwenda kucheki vibarua kule TBL, Ile nafika tu nakuta washikaji ndo wanasachiwa getini waingie, nikakimbia nafika tu getini kuna mlinzi wa kike akaniambia "wametosha", kuna mlinzi wa kiume akaniangalia kwa huruma, akanipa buku, kwa zile frustration nikanunua ganja za buku nikakaa kule ziwani nikavuta nikarudi geto sina hata mia mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha pale Bwiru TBL ukimaliza ule uzio Kama unalitafuta Ziwa Kuna Pusha mmoja anauzaga Bangi kitambo Sana. Hyo buku naona haikwenda mbali [emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umetisha

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuchakaa sana na mtaa,heshima home inashuka kwa kasi, madogo hawakuheshim tena,unaifikiria miaka yako mingi uliyoipoteza shule.
Unaiangalia gpa yako kali uliyoidotea chuo na kwauchungu sana unachukua tecno yako iliyopasuka kioo na kutype JF “natafuta kazi yeyote halali”.
Kutokana na kwamba uko broke unaandika vitu visivyoeleweka na detail chache kukuhusu.
Basi wanabodi walivyo na roho mbaya wanacomment ‘ngoja niwahi siti ‘ au ‘ngoja waje wakupe mwongozo’.


Aisee maisha haya omba yadikukute asee😂
 
Heheheehee free kende daaah[emoji23][emoji23][emoji16]

Huyo kaka ake Mangungu ametisha[emoji849][emoji849]

Ni roho mbaya au nini hiki?

Extrovert
 
That's very true....wanawake wana tamaa kupita maelezo [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…