Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu
chadema imetokea wapi tena hapa? Kuna msemaji wa chadema. Acha upuuzi wewe!
أخي ترك هذه الشخصية التشهير الدين للشعب، بلادنا هو السلام فقط
Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu
Dini/imani ina nguvu! Eti tumeamuliwa tuvae hivi, na nani? Mila za waarabu zinatutawala kiasi cha kutoweza kutumia our intuitive knowledge to make reasoned judgement. Picha ambayo huoni sura yako ina mantiki gani. kwa nini usiweke gogo likavishwa hivyo ukapiga picha baadaye,
Mbona mkali? MUM sio kama ST kinachozalisha mafisadiHivi Chadema nayo ni Dini? wingu hoja ilikuwa chuo au wewe ulisoma huko Morogoro ulifanya utafiti gani nani alikuwa msimamizi wako: Ponda au Mazinge?
Kama kulikuwa na vyuo vya makanisa vingi. Lkn utendaji ndani ya serekali unatisha. Ufisadi unashika kasi. Wizi na mikataba mibovu sasa tunalilia. Kuibuka kwa mum ni wazi tanzania mpya inakuja. Tz isionaufisadi itapatikana vyuo vya kiislam vitavyongezeka
Ofisi gani?!
Acheni mzaha hii sio graduation, mbona sioni zile kofia na majoho?
Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu