Graduates wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro huwa wanaenda wapi?

Graduates wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro huwa wanaenda wapi?

Status
Not open for further replies.
Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu

chadema imetokea wapi tena hapa? Kuna msemaji wa chadema. Acha upuuzi wewe!
 
Kama kulikuwa na vyuo vya makanisa vingi. Lkn utendaji ndani ya serekali unatisha. Ufisadi unashika kasi. Wizi na mikataba mibovu sasa tunalilia. Kuibuka kwa mum ni wazi tanzania mpya inakuja. Tz isionaufisadi itapatikana vyuo vya kiislam vitavyongezeka
 
chadema imetokea wapi tena hapa? Kuna msemaji wa chadema. Acha upuuzi wewe!

Labda user anaona wewe ikija post ya Chadema unaichangia kwa kunyenyekea na utifu mkubwa. ikija thread ya uislam una kurupuka na kukejeli. Acha jazba. kwani Chadema ni mahala patakatifu hapatikiwi kuguswa?
 
Graduates wote wanaenda makkah ajira za kumwaga acheni kututafuta nyie mburula
 
أخي ترك هذه الشخصية التشهير الدين للشعب، بلادنا هو السلام فقط

bado hajapanda kivuko cha Kigambøni.
 
Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu

Hivi Chadema nayo ni Dini? wingu hoja ilikuwa chuo au wewe ulisoma huko Morogoro ulifanya utafiti gani nani alikuwa msimamizi wako: Ponda au Mazinge?
 
Dini/imani ina nguvu! Eti tumeamuliwa tuvae hivi, na nani? Mila za waarabu zinatutawala kiasi cha kutoweza kutumia our intuitive knowledge to make reasoned judgement. Picha ambayo huoni sura yako ina mantiki gani. kwa nini usiweke gogo likavishwa hivyo ukapiga picha baadaye,

Utumwa wa mawazo ndio utumwa mkubwa zaidi ya utumwa wowotw ule. Huyu anafaa kwa kazi ya Receiptionist kweli? Au jenga picha huyu ni mtafiti, anaweza kwenda field mchana wa jua kali na hilo guo jeusi?

Civil Engineer, Marine Biologist, Doctor of Medicine (mgonjwa hakuoni), Hospitality Industry, Polisi, Mwalimu (ufundishe wanafunzi huku hawakuoni), Afisa mifugo (ng'ombe watakimbia mbio kali). Ndio Bank Teller, ukijichanganya kumpa fedha ukakose kitu kesho utamtamtambuaje, loh!
 
Kwani kuna ofisi inaajiri watu kutokana na mavazi yao na vyuo walivyosomea, ama kutokana na taaluma na uzoefu?
 
Kama kulikuwa na vyuo vya makanisa vingi. Lkn utendaji ndani ya serekali unatisha. Ufisadi unashika kasi. Wizi na mikataba mibovu sasa tunalilia. Kuibuka kwa mum ni wazi tanzania mpya inakuja. Tz isionaufisadi itapatikana vyuo vya kiislam vitavyongezeka

mi nitafurahi kuona maendeleo
 
duniani kuna mambo! Nini umuhimu wa picha wakiti sura umeziba?
 
Nafarijika JF imekuwa kijiwe cha ghahwa. Watu wanaropoka tu. Najipanga nami nilete utumbo wangu (uliovunda) naamini sitakosa wachangiaji. Ama kweli, kujua kubofya . . . anyway, msafara wa mamba hata mijusi hujumuika.
 
no comments naomba nipite maana nikiongea naweza kufungiwa hapa. nimeyaweka mengi kumoyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom