Graduates wengi mkiweka aibu na uoga pembeni, basi mtaani mnaishi

We noma mzee baba...lazima utoboe
 
Kujilipua muhimu sana tena afadhali ungeanza mapema. Mi najutia miaka yangu niliopoteza kwenye ubrazameni. Ungekuta nimeanza harakati mapema ningefikisha 30 nikiwa mjengoni kwangu kabisa.

Yote hio kuogopa kujilipua.
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]unaniachaga hoi, eti ubrazameni ha ha
 
Hahahaha

hatari sana, hatua ya kwanza nilijitoa facebook [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi ndo nimechomoka insta sasa nataka kujilipua kiukweli ukweli si mchezo

Yaaan nataka niwe na kwangu, at least at 26 niwe na mjengo

Kuna kadada kanalima mazao kana ela balaa kanitishia amani, asa ule mndinga wake mxiuuw
 
Tatizo ni nini mkuu hutaki kuajiriwa au umekosa kazi??
 
Hahahahahah, yaan Mimi niuze vitumbua????
 
''siri ya mafanikio ni kutunza siri ya mafanikio kwa ajili ya mafanikio''
 
Japo niliwahi kupata kazi sehemu fulani. Lile shirika Mungu anawaona.

Mshahara wakwanza nilipokea 167,100/= (Laki moja, sitini na saba elfu na mia moja).
I have never been a fool like that in my life.
Sawa mkuu nimekuelewa
Ila kweli me mbishi aisee, maana nilikaza mpaka miezi nane, nilisema nataka niache alama hapa.

Nilipoacha kazi mshahara wangu ulikua umefikia 187,100/= (Ongezeko la elfu 20)

I'll one day tell this story to a very big crowd.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] we noma
 
Mzee tupe story japo kwa kifupi
 
Mkuu story ya mtu ambae bado hajafanikiwa kiuchumi mara nyingi huwa inakosa maana kwasababu watu huona kama experience iliyopo kwenye story haijamsaidia muhusika.

Sasa mimi bado sijafika level yakueleza hizi story kwa namna yakumtia mtu moyo which is what I want.

Najiona mahala flani ambapo si muda sana nitafika, then I"ll tell the story.

Maana sasahivi nikikwambia mchana naosha magari, usiku napiga boda huweziona nguvu ya story yangu kwenye maisha ya mtu mwingine. Ila siku nikisema nilianzia kuosha magari na kupiga boda, ila sasahivi nimejenga kituo cha kulelea wazee, ama nimejenga library ya bure ama nimeajiri skilled labor 300, that will be the story.
Mzee tupe story japo kwa kifupi
 
Niliweka pemben kadegree kangu nakimbizana na bajaji za watu mjini, namake money, maisha yanasonga. Cha msingi ni kuwa na malengo kazi kama hizi ni njia za kupata mtaji tu.
ndiyo ndiyo, kwa levo hiyo hizo kazi tunafanya ili kupata mtaji sio kwaajili ya kujikimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…