Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Aaah! 2000 sitaweza ila hayo ni makadilio tu nikihesabu kwa sehemu ndogo then nikazidisha kwa ukubwa wa tz. Is all about Google Earth na Google maps ukiangalia idadi ya makazi, physical feature uoto utaelewa Nini kinaweza kukufaa sehemu husika kiukweli Hali ni ngumu ila kwakuwa Kuna simu na internet ya Bei che ya halotel naona maisha ni rahisi mno Kama mwepesi kujifunza
 

Andika hata kumi tu sio lazima 2000 mkuu
 
Hujiskii hata aibu kwa upuuzi ulioandika
umeona motivation speaker kwenye hio context hapo juu..
 
ukiachana na Kodi sehemu nyingine ukiwa na baiskeli maswala ya nauli huwa hayapo kabisa yaani. Unakaa sehemu nje kidogo ya mji unalipa elfu kumi pango hlf asubuhi unavyotoka nje kidogo ya mji unakokaa unachukua bidhaa kwenye baiskeli inayopatikana hapo unaiuza kwa profit mjini. Then unaendelea na ishu nyingine
 
mbona kama unatafuta ugomvi , maneno yote haya kwa kijana kisa nini
wabongo wengine hua mnaona wengine mafalah tu nyie ndio mna maana
 
Kupambana katika hali zote usitafute wa kumlaumu maana hutamkosa we pambana fursa hazikosi ni we we na akili zako
Kama wanatakiwa kupambana tu, kuna haja gani kutumia kodi za wananchi kuwapa watu mikopoooo ya elimu ya juu ambayo mwisho wa siku elimu yao inabaki kwenye vyeti.
 
Teknolojia imeathiri vipi ajira tanzania wakati matumizi yetu ya teknolojia ni madogo sana ?

Hebu taja kada moja tu ambayo hapa nchini imeathiriwa na kuwepo kwa teknolojia hadi kupelekea ukosefu wa ajira?

Tanzania yenye population milioni 59 huku wasomi wakiwa below Milioni wakiwa hawazid hata milioni 3 unakuwaje na mass unemployment kubwa hivyo kwa graduates ?

Tuweni wakweli tu tatizo la ajira nchini ni zao la uongozi mbovu na siyo teknolojia wala mama yake teknolojia.

Kutumia a Worldwide problem theory kuzungumzia tatizo la ajira nchini siyo sahihi ni kielelezo cha kukosa maarifa tu kwa watawala wetu.
 
Tatizo lenu ni hicho mlichosoma chuo! Bila shaka mmesomea taaluma ya namna ya kuvua hizo nanihii zenu za ndani.
 
Mkuu naelewa vizuri kabisa unachokisema.. sitokuja kusahau, japo kuna mahali tu najitolea nimejishikiza lakini angalau hata zile dharau zimepungua sana sana.. kile kipindi nikikumbuka, dah asante Mungu, niko radhi nijishikize au nijitolee miaka yangu yote ila sio kurudi kwenye yale maisha ya kuonekana huna maana na dharau kibao, imenijenga sana, hata watoto wangu nitawafundisha kutoitegemea elimu ktk kila kitu, kibongo bongo watateseka sana sana..
 
Mkuu pole sana, ulidharauliwa sana nini
 
Kweli mkuu yaani ni fedhea kubwa sana.

Kumbe mungu alituumba ili tufanye kazi. Hakuna kazi ngumu kama kutokuwa na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…