Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
Aaah! 2000 sitaweza ila hayo ni makadilio tu nikihesabu kwa sehemu ndogo then nikazidisha kwa ukubwa wa tz. Is all about Google Earth na Google maps ukiangalia idadi ya makazi, physical feature uoto utaelewa Nini kinaweza kukufaa sehemu husika kiukweli Hali ni ngumu ila kwakuwa Kuna simu na internet ya Bei che ya halotel naona maisha ni rahisi mno Kama mwepesi kujifunza