Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Aaah! 2000 sitaweza ila hayo ni makadilio tu nikihesabu kwa sehemu ndogo then nikazidisha kwa ukubwa wa tz. Is all about Google Earth na Google maps ukiangalia idadi ya makazi, physical feature uoto utaelewa Nini kinaweza kukufaa sehemu husika kiukweli Hali ni ngumu ila kwakuwa Kuna simu na internet ya Bei che ya halotel naona maisha ni rahisi mno Kama mwepesi kujifunza
 
Andika hata kumi tu sio lazima 2000 mkuu
 
Kwani kuna nini cha spesho sana ambacho mnakiandika kila siku?

Maana motivesheno spika mmekuwa wengi sana mnatoa mawaidha usiku na mchana kana kwamba dunia inaelekea ukingoni!

Nadhani ninyi akina motivesheno ndio tatizo kubwa kuliko tatizo la ajira!
Hujiskii hata aibu kwa upuuzi ulioandika
umeona motivation speaker kwenye hio context hapo juu..
 
Ni ukweli kwa mfano kodi ya nyumba mjini ni 100k kwa mwezi na unalipa kwa 3 months(100,000x3=300,000) na kipato chako kwa mwezi ni chini ya hapo then at the same time ukienda mikoani kuna baadhi ya maeneo kodi hadi 20,000 kwa mwezi na kuna fursa za uwekezaji kwa mfano kilimo na ufugaji. Tatzo la wasomi wengi ni ngumu kujishughulisha na kazi za nguvu wanaona kama ni mateso mtu yupo radhi akomae mjini for years bila kufanikiwa chochote wakati anao uwezo wa kuingia pori akakomaa kwa mda akapata pa kuanzia.
ukiachana na Kodi sehemu nyingine ukiwa na baiskeli maswala ya nauli huwa hayapo kabisa yaani. Unakaa sehemu nje kidogo ya mji unalipa elfu kumi pango hlf asubuhi unavyotoka nje kidogo ya mji unakokaa unachukua bidhaa kwenye baiskeli inayopatikana hapo unaiuza kwa profit mjini. Then unaendelea na ishu nyingine
 
Kufukuzwa kwenye nyumba kwa huyo Graduate mmoja ndio kunakufanya utapike mambo yote haya ?

Ninyi ndio kina Magufulu, hampendi challenges kwenye maisha yenu. Changamoto mnaona kama Jehannum,
Inavyoonekana wewe ni katai ya wanaoiogopa mno Dar kiasi kwamba unamtisha hapa kila mtu.

Mimi niwashauri Graduates, Dar ndio Silicon Valley ya Tanzania. Ni nkji unaoakutaka kufikiria, kama huwezi kufikiria Dar itakushinda,

Binafsi siogopi kulala njaa, kulala nje wala kunyeshewa mvua.

Kama wewe ukilala njaa siku moja unaona ukojela, rudi kwa wadogo zako nyumbani.
mbona kama unatafuta ugomvi , maneno yote haya kwa kijana kisa nini
wabongo wengine hua mnaona wengine mafalah tu nyie ndio mna maana
 
Kupambana katika hali zote usitafute wa kumlaumu maana hutamkosa we pambana fursa hazikosi ni we we na akili zako
Kama wanatakiwa kupambana tu, kuna haja gani kutumia kodi za wananchi kuwapa watu mikopoooo ya elimu ya juu ambayo mwisho wa siku elimu yao inabaki kwenye vyeti.
 
Ulichosema ni kweli kabisa Teknolojia na ongezeko la watu limesababisha uhaba wa ajira na hii inatupa picha kuwa tuendako tatizo linazidi kuwa kubwa kuliko ilivyo sasa.

Ila Basic needs za maisha ziko tatu Food, Clothes na Shelter nachotaka kusema ni kuwa hii nchi bado ina maeneo makubwa especially vijijini tena kwa bei rahisi pointi ya msingi ni kuwa Mali tutaipata shambani tulime kwa ajili ya chakula excess tufanye biashara ila tuweze kumudu gharama nyingine za maisha.
Teknolojia imeathiri vipi ajira tanzania wakati matumizi yetu ya teknolojia ni madogo sana ?

Hebu taja kada moja tu ambayo hapa nchini imeathiriwa na kuwepo kwa teknolojia hadi kupelekea ukosefu wa ajira?

Tanzania yenye population milioni 59 huku wasomi wakiwa below Milioni wakiwa hawazid hata milioni 3 unakuwaje na mass unemployment kubwa hivyo kwa graduates ?

Tuweni wakweli tu tatizo la ajira nchini ni zao la uongozi mbovu na siyo teknolojia wala mama yake teknolojia.

Kutumia a Worldwide problem theory kuzungumzia tatizo la ajira nchini siyo sahihi ni kielelezo cha kukosa maarifa tu kwa watawala wetu.
 
Tatizo lenu ni hicho mlichosoma chuo! Bila shaka mmesomea taaluma ya namna ya kuvua hizo nanihii zenu za ndani.
 
Mkuu naelewa vizuri kabisa unachokisema.. sitokuja kusahau, japo kuna mahali tu najitolea nimejishikiza lakini angalau hata zile dharau zimepungua sana sana.. kile kipindi nikikumbuka, dah asante Mungu, niko radhi nijishikize au nijitolee miaka yangu yote ila sio kurudi kwenye yale maisha ya kuonekana huna maana na dharau kibao, imenijenga sana, hata watoto wangu nitawafundisha kutoitegemea elimu ktk kila kitu, kibongo bongo watateseka sana sana..
 
Mkuu pole sana, ulidharauliwa sana nini
 
Kweli mkuu yaani ni fedhea kubwa sana.

Kumbe mungu alituumba ili tufanye kazi. Hakuna kazi ngumu kama kutokuwa na kazi
 
Back
Top Bottom