katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
naona wamekuchefua mkuuπππMnawaza kutongoza na kunyanduka badala ya kutafuta namna mjiajiri mtoke. Useless graduates
hv bro una umri gan? sjawah kuta umekoment utani wala kichekesho and the likes. yan comment zako zote ni serious comment znazofocus kwny mada iliyopo mezani. hongera aseeMkuu huu ushauri ni wamuhimu sana kwa graduate maana mimi nilifikiri mbali sana nikajaribu hadi saidia fundi huko usiku unalala mdomo wazi viungo vinauma usingizi hauji .....nashukuru Mungu aliniwezesha nikapata ajira ila bila hiyo ajira ingekuwa kazi maana kuna kipindi unaangalia mbele unaona giza......
Sikuhizi ninanidhamu sana ya matumizi ya pesa naogopa sana kustruggle tena na vibiashara ninavyoweza fanya huwa navifanya pia....
Umeongelea jambo la msingi sana juu ya mahitaji yetu kwenye service fulani na idadi inayozalishwa ya wahitimu.Yap, kwa sisi tech inazalisha ajira zaidi
Kilichopo pia ni utoaji wa elimu ambayo ni irrelevant kulingana na mahitaji
Mfano unaweza kuta kwa mwaka nchi inazalisha Maafisa Utumishi 5000 na mahitaji kwa mwaka ni 200, kwa mwaka tunahitaji Walimu wa sanaa 2000 halafu tunazalisha Walimu wa sanaa 25,000, tunahitaji watu wa Marketing 400 lakini tunazalisha 5000 (Nasisitiza huu ni mfano tu)
Ili tuwe na mahitaji makubwa ya watu hao tunarudi kwenye Serikali kuweka sera zinazo influence private sectors kuzalisha hizo kazi, pia kuwe sera wizara ya Elimu & Elimu ya juu kuzalisha Wataalan flani kwa mujibu wa mahitaji lakini la mwisho ni kuweka mkazo mkubwa kwenye elimu ya ufundi, nchi kama Ghana walifanikiwa kwenye hili
Nchi nyingi za uchumi kama wetu hazipaswi kuzalisha degrees (decision makers) bali wajuzi
kinachosumbua mikoani kwa wenye mtaji mdogo ni ukabila na wenyeji unaweza kushindwa kuchomoka vinginevyo unafanya kitu tofauti.Nikweli mkuu ila changamoto hutofautiana
Kwanza nimependa hoja yako ila ingekuwa vizuri ukanielewesha hivi vitu vitatu kwanza moja ni kuanzia ngazi gani ya elimu inayomtambulisha msomi? Pili takwimu za kuwa Tanzania kuna wasomi wasiozidi million tatu umezipataje na mwisho tatizo la ajira ni kwa ajili ya wasomi tu?Teknolojia imeathiri vipi ajira tanzania wakati matumizi yetu ya teknolojia ni madogo sana ?
Hebu taja kada moja tu ambayo hapa nchini imeathiriwa na kuwepo kwa teknolojia hadi kupelekea ukosefu wa ajira?
Tanzania yenye population milioni 59 huku wasomi wakiwa below Milioni wakiwa hawazid hata milioni 3 unakuwaje na mass unemployment kubwa hivyo kwa graduates ?
Tuweni wakweli tu tatizo la ajira nchini ni zao la uongozi mbovu na siyo teknolojia wala mama yake teknolojia.
Kutumia a Worldwide problem theory kuzungumzia tatizo la ajira nchini siyo sahihi ni kielelezo cha kukosa maarifa tu kwa watawala wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww jamaa vikomment vyako bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani mlikuwa na raha sana. Kama kujua kuandika tu insha ilikuwa kigezo cha kutoa ajira.
Ndio Boss.
Vizuri mkuu kwa majibu mazuri.Kwanza nimependa hoja yako ila ingekuwa vizuri ukanielewesha hivi vitu vitatu kwanza moja ni kuanzia ngazi gani ya elimu inayomtambulisha msomi? Pili takwimu za kuwa Tanzania kuna wasomi wasiozidi million tatu umezipataje na mwisho tatizo la ajira ni kwa ajili ya wasomi tu?
Na kuhusu sehemu ambazo zimeathiriwa na teknolojia zipo nyingi ni vile umechagua kutozitambua na kwa faida ya wengi nitazimention na kuzielezea japo kwa ufupi.
1. Elimu ni moja ya sehemu ambayo imeathiriwa na inaendelea kuathiriwa na teknolojia saa hivi watu hawajiangaishi kutafuta Waalimu ni direct anaenda mtandaoni anasearch material anayotaka au anajifunza kupitia video za mtandaoni na mwisho anaenda kuattend examination na anapata cheti hapo automatically nafasi za Ualimu zimeenda kuwa chache.
2. Viwanda ni moja kati ya sehemu iliyoathiriwa vibaya na teknolojia kwa watu wote yaani skilled and unskilled labour uwepo wa mitambo umekuja kuharibu kazi za watu imagine mtu mmoja anakaa na laptop anaoperate mitambo ambayo ilibidi isimamiwe na watu zaidi ya ishirini na kama unabisha hilo tenga muda ufanye tour viwandani.
3. Transaction za kibenki kufanyika kielectronic saa hivi benki nyingi zitafika wakati hazitahitaji kuwaajiri Mateller fikiria kama unaweza kuweka na kutoa pesa kupitia ATM.
4. Leo mtu anaenda mtandaoni anadownload ramani ya nyumba for free kabisa je mtu aliyesoma fani hiyo atamuuzia nani ramani zake.
Ukweli ni kuwa teknolojia imeathiri ajira za wengi ningeweza kuandika mengi ila nimeingia shift ya usiku na unajua kazi za watu hizi nisije jikuta jobless.
80% wapo mtaani.hivi kuna graduates wa pharmacy au medicine ambao wapo mtaani hawana ajira?
Sana mkuu, mtu anawaza ajira na ngono at the same time. Kizazi cha nyoka hikinaona wamekuchefua mkuuπππ
ila walinzi π mna tabu kwaio jamaa hakurudi tena80% wapo mtaani.
Medicine wlikwa mtaani 2700 wameajiri 1.000 wamebaki 1700 na watakaomaliza internship mwaka huu wanarudimtaani kuongeza namba.
Binafsi nimesoma MUHAS nawajua wengi wapo.
Magufuli hana muda na ajira, bora pesa hizo akamtoe msigwa jela au akahonge wapinzani waunge mkono JUHUDI.
ila walinzi
ila walinzi