Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Mkuu huu ushauri ni wamuhimu sana kwa graduate maana mimi nilifikiri mbali sana nikajaribu hadi saidia fundi huko usiku unalala mdomo wazi viungo vinauma usingizi hauji .....nashukuru Mungu aliniwezesha nikapata ajira ila bila hiyo ajira ingekuwa kazi maana kuna kipindi unaangalia mbele unaona giza......

Sikuhizi ninanidhamu sana ya matumizi ya pesa naogopa sana kustruggle tena na vibiashara ninavyoweza fanya huwa navifanya pia....
hv bro una umri gan? sjawah kuta umekoment utani wala kichekesho and the likes. yan comment zako zote ni serious comment znazofocus kwny mada iliyopo mezani. hongera asee
 
Yap, kwa sisi tech inazalisha ajira zaidi

Kilichopo pia ni utoaji wa elimu ambayo ni irrelevant kulingana na mahitaji

Mfano unaweza kuta kwa mwaka nchi inazalisha Maafisa Utumishi 5000 na mahitaji kwa mwaka ni 200, kwa mwaka tunahitaji Walimu wa sanaa 2000 halafu tunazalisha Walimu wa sanaa 25,000, tunahitaji watu wa Marketing 400 lakini tunazalisha 5000 (Nasisitiza huu ni mfano tu)

Ili tuwe na mahitaji makubwa ya watu hao tunarudi kwenye Serikali kuweka sera zinazo influence private sectors kuzalisha hizo kazi, pia kuwe sera wizara ya Elimu & Elimu ya juu kuzalisha Wataalan flani kwa mujibu wa mahitaji lakini la mwisho ni kuweka mkazo mkubwa kwenye elimu ya ufundi, nchi kama Ghana walifanikiwa kwenye hili

Nchi nyingi za uchumi kama wetu hazipaswi kuzalisha degrees (decision makers) bali wajuzi
Umeongelea jambo la msingi sana juu ya mahitaji yetu kwenye service fulani na idadi inayozalishwa ya wahitimu.

Kuna kitu kingine wahitimu wengi wanaozalishwa ni wale wanaohitajika kwenye service industry ambayo haijakomaa kuweza kuchukua idadi kubwa.

Wengi wa graduates wanamatarajia makubwa ya kupata kazi katika public sector kuliko private sector ambayo pamoja sharp growth yake bado haijawa na uwezo mkubwa sana wa kujaza gap linaloachwa na public sector.

Trend ya 2015 kurudi nyuma ilikuwa inatia matumaini sana kwa kada nyingi kupata ajira au kujiajiri kwa mfano service industry ilikua kwa haraka sana na kuwa na watu wengi waliojiajiri huko vivyo hivyo sector zingine zilianza kuvutia watu wengi sana kuwekeza na kuanza kuzalisha ajira nyingi kwa watu wenye kada mbalimbali.

Nini kifanyike.

1 kwa graduates walioko mtaani tayari wakubaliane na hali kuwa hii itawasaidia kupata mawazo mapya on how to survive the battle

2 kwa walioko vyuoni wanapaswa kujiandaa kisaikolojia at the same time try to learn new skills hasa hasa MARKETING na entrepreneurship wanapaswa kutumia muda wao mwingi creating connections zitakazowasaidia kuingia kwenye soko la ajira with Hopes

3. We have to swallow our pride tufanye kazi yoyote inayoweza kuzalisha kipato while while looking for best options.

4 we shouldn't expect too much kuwa degree ni ultimate source of economic success hii ndiyo inayotufanya tushindwe kufikiria nje ya box.

5 kukwepa mazingira ya aibu na kuchekwa mitaani huko tunakotoka ni vyema tukatafuta sehemu we are least known and start from the bottom inaweza kusaidia kutupa dimensions nyingi za kuweza kuona fursa.

Etc

6.
 
Teknolojia imeathiri vipi ajira tanzania wakati matumizi yetu ya teknolojia ni madogo sana ?

Hebu taja kada moja tu ambayo hapa nchini imeathiriwa na kuwepo kwa teknolojia hadi kupelekea ukosefu wa ajira?

Tanzania yenye population milioni 59 huku wasomi wakiwa below Milioni wakiwa hawazid hata milioni 3 unakuwaje na mass unemployment kubwa hivyo kwa graduates ?

Tuweni wakweli tu tatizo la ajira nchini ni zao la uongozi mbovu na siyo teknolojia wala mama yake teknolojia.

Kutumia a Worldwide problem theory kuzungumzia tatizo la ajira nchini siyo sahihi ni kielelezo cha kukosa maarifa tu kwa watawala wetu.
Kwanza nimependa hoja yako ila ingekuwa vizuri ukanielewesha hivi vitu vitatu kwanza moja ni kuanzia ngazi gani ya elimu inayomtambulisha msomi? Pili takwimu za kuwa Tanzania kuna wasomi wasiozidi million tatu umezipataje na mwisho tatizo la ajira ni kwa ajili ya wasomi tu?

Na kuhusu sehemu ambazo zimeathiriwa na teknolojia zipo nyingi ni vile umechagua kutozitambua na kwa faida ya wengi nitazimention na kuzielezea japo kwa ufupi.

1. Elimu ni moja ya sehemu ambayo imeathiriwa na inaendelea kuathiriwa na teknolojia saa hivi watu hawajiangaishi kutafuta Waalimu ni direct anaenda mtandaoni anasearch material anayotaka au anajifunza kupitia video za mtandaoni na mwisho anaenda kuattend examination na anapata cheti hapo automatically nafasi za Ualimu zimeenda kuwa chache.

2. Viwanda ni moja kati ya sehemu iliyoathiriwa vibaya na teknolojia kwa watu wote yaani skilled and unskilled labour uwepo wa mitambo umekuja kuharibu kazi za watu imagine mtu mmoja anakaa na laptop anaoperate mitambo ambayo ilibidi isimamiwe na watu zaidi ya ishirini na kama unabisha hilo tenga muda ufanye tour viwandani.

3. Transaction za kibenki kufanyika kielectronic saa hivi benki nyingi zitafika wakati hazitahitaji kuwaajiri Mateller fikiria kama unaweza kuweka na kutoa pesa kupitia ATM.

4. Leo mtu anaenda mtandaoni anadownload ramani ya nyumba for free kabisa je mtu aliyesoma fani hiyo atamuuzia nani ramani zake.

Ukweli ni kuwa teknolojia imeathiri ajira za wengi ningeweza kuandika mengi ila nimeingia shift ya usiku na unajua kazi za watu hizi nisije jikuta jobless.
 
Zamani mlikuwa na raha sana. Kama kujua kuandika tu insha ilikuwa kigezo cha kutoa ajira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww jamaa vikomment vyako bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii imekaa vizuri sana, na umri wangu wa hamsini nimefikiria kwenda veta kujifunza ufundi bomba, pengine naweza anzisha kikampuni changu cha ufundi huo.
 
Kwanza nimependa hoja yako ila ingekuwa vizuri ukanielewesha hivi vitu vitatu kwanza moja ni kuanzia ngazi gani ya elimu inayomtambulisha msomi? Pili takwimu za kuwa Tanzania kuna wasomi wasiozidi million tatu umezipataje na mwisho tatizo la ajira ni kwa ajili ya wasomi tu?

Na kuhusu sehemu ambazo zimeathiriwa na teknolojia zipo nyingi ni vile umechagua kutozitambua na kwa faida ya wengi nitazimention na kuzielezea japo kwa ufupi.

1. Elimu ni moja ya sehemu ambayo imeathiriwa na inaendelea kuathiriwa na teknolojia saa hivi watu hawajiangaishi kutafuta Waalimu ni direct anaenda mtandaoni anasearch material anayotaka au anajifunza kupitia video za mtandaoni na mwisho anaenda kuattend examination na anapata cheti hapo automatically nafasi za Ualimu zimeenda kuwa chache.

2. Viwanda ni moja kati ya sehemu iliyoathiriwa vibaya na teknolojia kwa watu wote yaani skilled and unskilled labour uwepo wa mitambo umekuja kuharibu kazi za watu imagine mtu mmoja anakaa na laptop anaoperate mitambo ambayo ilibidi isimamiwe na watu zaidi ya ishirini na kama unabisha hilo tenga muda ufanye tour viwandani.

3. Transaction za kibenki kufanyika kielectronic saa hivi benki nyingi zitafika wakati hazitahitaji kuwaajiri Mateller fikiria kama unaweza kuweka na kutoa pesa kupitia ATM.

4. Leo mtu anaenda mtandaoni anadownload ramani ya nyumba for free kabisa je mtu aliyesoma fani hiyo atamuuzia nani ramani zake.

Ukweli ni kuwa teknolojia imeathiri ajira za wengi ningeweza kuandika mengi ila nimeingia shift ya usiku na unajua kazi za watu hizi nisije jikuta jobless.
Vizuri mkuu kwa majibu mazuri.

1. Uzi unahusu graduates na categorically mleta uzi kawalenga hao.

2 Takwimu za graduates nimetumia muda vyuo vikuu vilipoanzishwa vingi sana hauzidi miaka kumi na almost wanaozalishwa kutoka huko kila mwaka hawazidi laki moja a year kwahiyo ukiangalia hapo huwezi kuwa na university graduates watakaofika 3Million+ included.

3 Tatizo la ajira linagusa kila mtu siyo wasomi tu lakini uzi umelenga graduates na majibu yangu yamelenga hao graduates.

Tuje kwenye hoja ya teknolojia kwa Tanzania kuathiri ajira negatively hii haina uhalisia wowote sana imezalisha ajira nyingi kuliko kinyume chake hasa hasa teknolojia ya mawasiliano.

Nikwambie kitu kimoja kwa level ya teknolojia tuliyonayo sisi haina negative impacts kwenye ajira.

Teknolojia inayoathiri ajira za watu ni high tech siyo hii tulionayo sisi.

Tuchukulie mfano ulioutumia wa viwanda hapo. Lini viwanda hapa nchini vilikuwa vikitoa ajira nyingi na sasa ajira zimepunguzwa na technology ? Kwanza viwanda vipi unavyozungumzia wewe ?

Hii ya kusema hapa kwetu teknolojia imeathiri ajira ni dhana mfu na haina uhalisia wowote.
 
hivi kuna graduates wa pharmacy au medicine ambao wapo mtaani hawana ajira?
80% wapo mtaani.

Medicine wlikwa mtaani 2700 wameajiri 1.000 wamebaki 1700 na watakaomaliza internship mwaka huu wanarudimtaani kuongeza namba.

Binafsi nimesoma MUHAS nawajua wengi wapo.

Magufuli hana muda na ajira, bora pesa hizo akamtoe msigwa jela au akahonge wapinzani waunge mkono JUHUDI.
 
Suala la ajira limekuwa gumu mno, lkn graduates cha kufanya ni kuweka vyeti pembeni na kufanya kile unachojua kitakusogeza sehemu hadi utakapo simama! Kinachocost wasomi wengi ni kuona shuguli nyingi sio za hadhi zao!!
 
80% wapo mtaani.

Medicine wlikwa mtaani 2700 wameajiri 1.000 wamebaki 1700 na watakaomaliza internship mwaka huu wanarudimtaani kuongeza namba.

Binafsi nimesoma MUHAS nawajua wengi wapo.

Magufuli hana muda na ajira, bora pesa hizo akamtoe msigwa jela au akahonge wapinzani waunge mkono JUHUDI.
ila walinzi 😀 mna tabu kwaio jamaa hakurudi tena
 
My take ni kwamba
1. graduates wengi wa kipindi hiki hawajui hata kwa nini wali graduate au ali-graduate aje afanye nn
2. Hakuna ambae elimu imemuelimisha kwa minajili ya kile alichokuwa anasomea mfn wengi huwa wananunu research papers bila kujali kwamba ilo jambo linamnyima fursa yeye kuitambua jamii na kuona opportunities za kuja kufanya kwenye jamii
3. Elimu imekuwa ya makaratasi zaidi na si pratical hence wengi hawajui hata implication ya elimu yake inaingiaje kwenye jamii
4. Lack of creativity jamii ya tanzania ni bikra sana wasomi wanaitajika sana ila hawa wanaoitwa wasomi hawajui wala uwezo wao wakutengeneza demand ya supply ya service za elimu zao hakuna
Mwisho wanaonekana hawana kitu wameenda kukua kimwili mashule na vyuoni na si kiakili
Naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom