Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]We acha tu, nna gundu na majobless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Rizki yako ipo huko mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]We acha tu, nna gundu na majobless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Dah ukweli mtupu mimi na degree yangu nilisotea kibarua cha saidia fundi kwenye mradi wa tazara flyover na nikaukosa sikukata tamaa nikaenda na wa pale ubungo nao pia nikapigwa chini dah we acha tu yan hata huko nako unahitaji konectionUnajua kuna msemo unasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, ndio graduates wengi ambao hatuna kazi tunapitia hiyo hali yaani hatuna haki kabisa, now tumekuwa jalala la matusi sii la Saba, fm4 failure, waliobahatika kupata vijikazi, wanatuona kama wajinga, wazazi jamii inayotuzunguka wote wanatuona mafala hakuna wakututetea.
Yaani ukitaka kuiona dunia chungu, maliza masomo/degree halafu usipate sehemu ya kujishikiza au mchongo wowote asee utachekwa hadi na watoto wadogo, najua wengi hasa graduate mnanielewa ninacho zungumzia, just imagine interview ya jana TRA watu wanaitwa zaidi ya elfu sita kugombania nafasi mbili kwa kweli inasikitisha.
Now hata nafasi za kujitolea kwenye makampuni hazipo yaani ebu fikiria mtu anajitoa kufanya kazi bila malipo lakini bado unakataliwa, sio tu kwenye makampuni makubwa, hata kufanya kazi kama kibarua kwenye miradi ya ujenzi napo bilabila, viwanda vidogo vya kufyatua tofali unakuta kumejaa.
Yaani kwa sasa mambo yamebana hata nafasi ya kufanya field ukiwa bado unasoma napo unaweza kukosa kabisa, kuna zile kazi za kupakua mizigo inayotoka mikoani kama magunia ya mpunga, viazi huko kote bila connection hata kama una phd dalali hakupi kazi.
Kilicho nisukuma niandike haya yote leo kuna jamaa yangu ninapokaa ametimuliwa na mama mwenye nyumba kisa kushindwa kulipa kodi. Jamaa yeye ni graduate wa ba education toka 2018 anauza matunda kwa wanafunzi wa chuo kwao ni Kigoma kisa Corona mambo yameenda vibaya kodi yake iliisha toka tarehe moja leo mama mwenye nyumba ameleta dalali wakakagua nyumba na vitu viko ndani akafukuzwa.
Jambo ambalo nataka kuwaambia magraduate wenzangu usikomalie tu kukaa Dar es Salaam ukiona maisha hayaeleweki rudisha mpira kwa kipa sio kukomaa kwenye hakuna, mikoani kuna fursa nyingi kuliko Dar es Salaam kwanini nasema hivyo, Dar es Salaam imeshakamatwa na wafanyabiashara wakubwa.
Waliobaki wengi ni machinga kama unataka kuamini nenda kesho Kariakoo, Ilala, Makumbusho, Gongo la mboto ujionee mwenyewe machinga walivyojazana.
Kuingia kwenye system ya kujiajiri hasa biashara ni rahisi sana kwa mji unaokua mfano Dodoma kuliko sehemu kama Dar es salaam ambayo tayari mabeberu walishaishika toka kitambo, jaribu kuangalia gharama za ulipaji pango, umeme, usafiri ndio utaelewa.
Yaani kodi tu ya fremu Dar sehemu ya uchochoroni unaambiwa laki 4 na dalali anataka ya mwezi mmoja,
Najua kuna madogo wengi watasoma hapa, nakwambia kabisa jaribu kutafuta ujuzi binafsi huko chini, ukiona kitabu hakipandi nenda veta, kasomee electronics/ ufundi simu, gerage/umeme wa magari, pikipiki, ufundi bomba, umeme majumbani, kupaka rangi, kutengeneza furniture/sofa hawa watu wana uhakika wa kuishi mjini vizuri kuliko graduate wa kwenye makaratasi.
Kariakoo pale kuna mtu ana masters nilimkuta anafundishwa kutengeneza simu na fm4 B tena pale kwenye msururu wa vile vimeza vilivyopangana pale njee, maisha yamempiga hatari,
Nihitimishe tu kwa kusema Mungu atujaalie na atutangulie tuweze kutimiza ndoto zetu na atuwezeshe kuvuka salama katika hiki kipindi cha mpito.
Unajua kuna msemo unasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, ndio graduates wengi ambao hatuna kazi tunapitia hiyo hali yaani hatuna haki kabisa, now tumekuwa jalala la matusi sii la Saba, fm4 failure, waliobahatika kupata vijikazi, wanatuona kama wajinga, wazazi jamii inayotuzunguka wote wanatuona mafala hakuna wakututetea.
Yaani ukitaka kuiona dunia chungu, maliza masomo/degree halafu usipate sehemu ya kujishikiza au mchongo wowote asee utachekwa hadi na watoto wadogo, najua wengi hasa graduate mnanielewa ninacho zungumzia, just imagine interview ya jana TRA watu wanaitwa zaidi ya elfu sita kugombania nafasi mbili kwa kweli inasikitisha.
Now hata nafasi za kujitolea kwenye makampuni hazipo yaani ebu fikiria mtu anajitoa kufanya kazi bila malipo lakini bado unakataliwa, sio tu kwenye makampuni makubwa, hata kufanya kazi kama kibarua kwenye miradi ya ujenzi napo bilabila, viwanda vidogo vya kufyatua tofali unakuta kumejaa.
Yaani kwa sasa mambo yamebana hata nafasi ya kufanya field ukiwa bado unasoma napo unaweza kukosa kabisa, kuna zile kazi za kupakua mizigo inayotoka mikoani kama magunia ya mpunga, viazi huko kote bila connection hata kama una phd dalali hakupi kazi.
Kilicho nisukuma niandike haya yote leo kuna jamaa yangu ninapokaa ametimuliwa na mama mwenye nyumba kisa kushindwa kulipa kodi. Jamaa yeye ni graduate wa ba education toka 2018 anauza matunda kwa wanafunzi wa chuo kwao ni Kigoma kisa Corona mambo yameenda vibaya kodi yake iliisha toka tarehe moja leo mama mwenye nyumba ameleta dalali wakakagua nyumba na vitu viko ndani akafukuzwa.
Jambo ambalo nataka kuwaambia magraduate wenzangu usikomalie tu kukaa Dar es Salaam ukiona maisha hayaeleweki rudisha mpira kwa kipa sio kukomaa kwenye hakuna, mikoani kuna fursa nyingi kuliko Dar es Salaam kwanini nasema hivyo, Dar es Salaam imeshakamatwa na wafanyabiashara wakubwa.
Waliobaki wengi ni machinga kama unataka kuamini nenda kesho Kariakoo, Ilala, Makumbusho, Gongo la mboto ujionee mwenyewe machinga walivyojazana.
Kuingia kwenye system ya kujiajiri hasa biashara ni rahisi sana kwa mji unaokua mfano Dodoma kuliko sehemu kama Dar es salaam ambayo tayari mabeberu walishaishika toka kitambo, jaribu kuangalia gharama za ulipaji pango, umeme, usafiri ndio utaelewa.
Yaani kodi tu ya fremu Dar sehemu ya uchochoroni unaambiwa laki 4 na dalali anataka ya mwezi mmoja,
Najua kuna madogo wengi watasoma hapa, nakwambia kabisa jaribu kutafuta ujuzi binafsi huko chini, ukiona kitabu hakipandi nenda veta, kasomee electronics/ ufundi simu, gerage/umeme wa magari, pikipiki, ufundi bomba, umeme majumbani, kupaka rangi, kutengeneza furniture/sofa hawa watu wana uhakika wa kuishi mjini vizuri kuliko graduate wa kwenye makaratasi.
Kariakoo pale kuna mtu ana masters nilimkuta anafundishwa kutengeneza simu na fm4 B tena pale kwenye msururu wa vile vimeza vilivyopangana pale njee, maisha yamempiga hatari,
Nihitimishe tu kwa kusema Mungu atujaalie na atutangulie tuweze kutimiza ndoto zetu na atuwezeshe kuvuka salama katika hiki kipindi cha mpito.
Unafanya biashara gani.Kupanga ni kuchagua. Personally namshukuru mungu shughuli nnayofanya inaniingizia kipato na mimi najiona mtu mbele za watu. Hata kutuma maombi ya kazi nimeacha. Yani ofisi yangu ni simu yangu kila kitu nafanya online. I love this life hapa nafikiria jinsi ya kukuza hii biashara. Asikwambie hakuna raha duniani kama kujiajiri, kwanza ukiwa mfanya biashara pesa unakua nayo kila siku sio kama waajiriwa wao pesa wanashika mwisho wa mwezi tu alafu baada ya wiki wanaanza msoto. Vijana acheni kufikiria kuajiriwa ndo njia pekee ya kutoka kimaisha. Think outside the box.
Nguo, urembo, accessories za kina dada. Nina online store Instagram... no physical location.unafanya biashara gan
Nguo, urembo, accessories za kina dada. Nina online store Instagram... no physical location.

Yaani kumbe una physical location then unasema ofisi yako simu tuNguo, urembo, accessories za kina dada. Nina online store Instagram... no physical location.
Nguo, urembo, accessories za kina dada. Nina online store Instagram... no physical location.
Kufikiria chama cha siasa kinaweza kumkomboa mtu kiuchumi bila jitihada binafsi ni ujinga na ulimbikeni. Hakuna chama cha siasa chochote kinachoweza kumletea mtu yeyote ukombozi bila yeye kuji_positionCCM inawajali mbona
NO PHYSICAL LOCATION.... hujui kingereza au shida nini?Yaani kumbe una physical location then unasema ofisi yako simu tu