Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Ni kama Simba na Yanga tu wewe unapenda hii yule anapenda hii basi ndiyo burudani .

By the way,Diddy angekuwa uraiani angeweza akaingia kwenye kinyang'anyiro
 
Nashauri Diamond Platinums, asikate tamaa.

Kwenye haya maisha, hutakiwi kukata tamaa hadi ufanikiwe lengo lako.

Kwa maoni yangu, iwapo Diamond Platinums akashinda hiyo tuzo, Tanzania nzima imeshinda.

Let's pray for him, Kwa maana yeye ndiyo mtu pekee anayeiwakilisha Tanzania nyanja za Kimataifa Kwa sasa.

Nina amini, atashinda Siku moja hata akiwa na miaka 45 ama 55
Alikuja vizuri ila kwa sasa mziki wake.............hauna utambulisho ,maana huku amapiano huku mziki wa afrika magharibi, kwa soko la ndani haina shida ila ukitoka nje kama ulipitia njia za wakina amapiano bas unaenda kushindana na wenye mziki wao, hivyo hivyo pia kama umepitia njia za wakina davido , rema basi huko nje utakutana nao,,,,,jamaa angeendelea kufocus na mziki ambao ungempa utambulisho wake wakipekee au utambulisho wa ukanda huu......
 
Ni sahihi Mkuu, nadhani yeye anaimba nyimbo kwa kuangalia zaidi soko lake la biashara

Kwa kufanya hivyo, anajikuta anakosa identity
 
Pamoja na mambo mengine, kutegemea Kiswahili pekee ni changamoto kubwa. Kwa nyimbo hizo hizo ambazo Diamond ameziimba kwa Kiswahili, angeziimba kwa Kiingereza angepiga show nchi nyingi zaidi.
Mziki hauna lugha mkuu;

Indila anaimba kifaransa ila anapiga show na kujaza world wide iwe hispania, italia, australiaetc

Adele anaimba kiingereza ila pale munich ujerumani mwaka huu watu walikosa sehemu ya kukaa

Premier gou, todii, vulindela, umqombothi, prakataetumba, jerusalema, ye ke yeke, show me the way hizo ni baadhi ya nyimbo zilizowahi kutamba africa yote lakini 70% ya wasikilizaji wake hawaelewi nini kimeimbwa
 
Lakini ukweli nyimbo za diamond hazieleweki.ajitahidi kuimba vizuri kama walivyo davido,wizkid au burnaboy

Uwezo wake mdogo tu, kufika level za hao jamaa unaowataja ni ngumu, sasa Burna anasimama ngoma moja na Coldplay utamfananisha na mond kweli?
 
Mziki hauna lugha mkuu;

Indila anaimba kifaransa ila anapiga show na kujaza world wide iwe hispania, italia, australiaetc

Adele anaimba kiingereza ila pale munich ujerumani mwaka huu watu walikosa sehemu ya kukaa

Premier gou, todii, vulindela, umqombothi, prakataetumba, jerusalema, ye ke yeke, show me the way hizo ni baadhi ya nyimbo zilizowahi kutamba africa yote lakini 70% ya wasikilizaji wake hawaelewi nini kimeimbwa

Uko sahihi kiingereza ni kisingizio, muziki ni universal language
 
Diamond anaonekana ni msanii mkubwa ndani ya Tanzania tu ila huko nje ni underground, yani badoo sana
Hiki ndio kitu wabongo hawataki kusikia. na si tu kwa wasanii, wabongo wanadhani umaarufu wa huku ndani ndio nie ulivyo, kumbe nje hakuna chawa, kujioendekeza na competition ni kubwa kiasi kwamba huyo wanae mdhani ni msanii mkubwa ndio mdogo
 
Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list ya majina ambao watawania tuzo hiyo jina la msanii diamondplatnumz halijatajwa kuwania kipengere hicho.

View attachment 3148348
kabla ya kupeleka angeomba ushauri kwa masoud masaod
 
Back
Top Bottom