Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama Simba na Yanga tu wewe unapenda hii yule anapenda hii basi ndiyo burudani .Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Wee jamaa jau sana 😂 😂 😂 😂Mondy ni UVCCM?
Alikuja vizuri ila kwa sasa mziki wake.............hauna utambulisho ,maana huku amapiano huku mziki wa afrika magharibi, kwa soko la ndani haina shida ila ukitoka nje kama ulipitia njia za wakina amapiano bas unaenda kushindana na wenye mziki wao, hivyo hivyo pia kama umepitia njia za wakina davido , rema basi huko nje utakutana nao,,,,,jamaa angeendelea kufocus na mziki ambao ungempa utambulisho wake wakipekee au utambulisho wa ukanda huu......Nashauri Diamond Platinums, asikate tamaa.
Kwenye haya maisha, hutakiwi kukata tamaa hadi ufanikiwe lengo lako.
Kwa maoni yangu, iwapo Diamond Platinums akashinda hiyo tuzo, Tanzania nzima imeshinda.
Let's pray for him, Kwa maana yeye ndiyo mtu pekee anayeiwakilisha Tanzania nyanja za Kimataifa Kwa sasa.
Nina amini, atashinda Siku moja hata akiwa na miaka 45 ama 55
Kwa kazi gani itakayompa tuzo? Hana maajabu.Nashangaa vijana wa bongo aiseee.
Mi mondi simkubali live live ila kwa matukio kama haya huwa na feel why imetokea hv...
😂😂😂😂😂 Wee mkuu una chuki live liveKwa kazi gani itakayompa tuzo? Hana maajabu.
Ni sahihi Mkuu, nadhani yeye anaimba nyimbo kwa kuangalia zaidi soko lake la biasharaAlikuja vizuri ila kwa sasa mziki wake.............hauna utambulisho ,maana huku amapiano huku mziki wa afrika magharibi, kwa soko la ndani haina shida ila ukitoka nje kama ulipitia njia za wakina amapiano bas unaenda kushindana na wenye mziki wao, hivyo hivyo pia kama umepitia njia za wakina davido , rema basi huko nje utakutana nao,,,,,jamaa angeendelea kufocus na mziki ambao ungempa utambulisho wake wakipekee au utambulisho wa ukanda huu......
Mziki hauna lugha mkuu;Pamoja na mambo mengine, kutegemea Kiswahili pekee ni changamoto kubwa. Kwa nyimbo hizo hizo ambazo Diamond ameziimba kwa Kiswahili, angeziimba kwa Kiingereza angepiga show nchi nyingi zaidi.
Lakini ukweli nyimbo za diamond hazieleweki.ajitahidi kuimba vizuri kama walivyo davido,wizkid au burnaboy
Mziki hauna lugha mkuu;
Indila anaimba kifaransa ila anapiga show na kujaza world wide iwe hispania, italia, australiaetc
Adele anaimba kiingereza ila pale munich ujerumani mwaka huu watu walikosa sehemu ya kukaa
Premier gou, todii, vulindela, umqombothi, prakataetumba, jerusalema, ye ke yeke, show me the way hizo ni baadhi ya nyimbo zilizowahi kutamba africa yote lakini 70% ya wasikilizaji wake hawaelewi nini kimeimbwa
Hiki ndio kitu wabongo hawataki kusikia. na si tu kwa wasanii, wabongo wanadhani umaarufu wa huku ndani ndio nie ulivyo, kumbe nje hakuna chawa, kujioendekeza na competition ni kubwa kiasi kwamba huyo wanae mdhani ni msanii mkubwa ndio mdogoDiamond anaonekana ni msanii mkubwa ndani ya Tanzania tu ila huko nje ni underground, yani badoo sana
Nimecheka kwa sauti mpaka nikajishangaa mwenyewe kabla ya waliokaribu yangu kushangaa zaidi.Maana bado asubuhi🤣🤣🤣🤣Au walidhani diamond ni wa chadema ndo maana walimuondoa
😂😂😂Mkuu huwezi imba coma savaa ukapewa grammy! Kaimba kama google translate.😂😂😂😂😂 Wee mkuu una chuki live live
Comasava siipendi ile nyumba kinoma an😂😂😂Mkuu huwezi imba coma savaa ukapewa grammy! Kaimba kama google translate.
kabla ya kupeleka angeomba ushauri kwa masoud masaodWaandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list ya majina ambao watawania tuzo hiyo jina la msanii diamondplatnumz halijatajwa kuwania kipengere hicho.
View attachment 3148348