FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unamvunjia heshima mama'ko itakuwa mimi? Jiulize hilo kwanza.Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamvunjia heshima mama'ko itakuwa mimi? Jiulize hilo kwanza.Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima?
Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
View: https://twitter.com/abasmas/status/1740720706110038506?s=19
Yaah nadhani hawaelewi ideology ya hao jamaa.Kama ipo hivyo lazima kuna shida mahala ni either hawajashiba vya kutosha maandiko ya kitabu chao (maana siamini km kinaweza kufundisha kuwatedea wengine unyama km huu) Au wanafuata mkumbo hawaelewi ideology ya hao magaidi.
Unakera...nenda urudi shule uelewe primary information ni Nini... or else unapoteza mda tu...Quran ilikaririwa.Ni primary kwa maana aya zilitamkwa na Muhamad mwenyewe na zolikaririshwa. Hadithi na suna za mtume ndio secondary maana zilielezwa kadri maswahaba walivyojisikia.
Leo ukichoma misahafu yote quran inabaki vile vile ila ukichoma biblia utaokoteza okoteza kwa sababu biblia haikaririwi labda kwa mapenzi ta muumini sio kanuni ya ukristo.
Muhamad alimpiga bao Jesus namna ya kuhifadhi na kurithisha. Jesus yeye aliwaacha wakaandike wanavyokumbuka ndio maana nimesema pale kuna waraka wa akina paul wakati mitume wengine hawana waraka. Kila mtume ana kitabu chake kitu ambacho quran haina.
Muhamad alikaririsha quran, Jesus hakukaririsha wanafunzi wake aliwapa mafunzo kwa simulizi .
Muhamad alikuwa ni taasisi wakati Jesus hakuwahi kuwa taasisi. Mafundisho ya kiislamu yalikuwa intitutionalize na yeye mwenyewe muhamad . Muhamad alikuwa kitaalamu zaidi kiliko unavyojua, hakuacha kitu kinacho elea elea tu hewani kama Jesus. Aliona mbali sana.
Quran zopo kwenye ubongo( primary source)
Nakwambia hivi Muhamad alikuwa na vision ya mbali sana.
Katika vitabu muhimu 100 vya wamarekani, qurani wamekiweka no 1. Wewe mbantu ndio unaona maruwe ruwe. Mtu mmoja kudizaini kitabu kama kile sio mchezo ila waafrika kwa sababu ya udumavu wa akili huwa hatuoni wanavyoona wenzetu tunabisha bisha bila logic.
Hao unao wataja sijui Rwanda au Burundi hizo civil war ambazo hazihusiani kabisa na Imani au kwa vile siyo Waislamu basi ndo upate uhalali wa kusema ni wakristo, Impossible. Na wanaua wa kuuna siyo kwa sabab ya Dini.Unajua matendo ya kikatili yanayotokea Duniani kila siku ,Zama zilizopita na ushenzi unaoendelea sehemu nyingi Duniani kwa Siri na dhahiri ? unajua nchi ambzo zina matukio ya uhalifu mkubwa Duniani ?
Haujui Wakristo Rwanda ,South Sudan ,Angola wameuana Sana maelfu kwa ukatili mkubwa vipi roho mtakatifu alikuwa wapi mpaka kutokea hayo ?
Ponography industry ,movies ,miziki zinazoharibu watoto na jamii hayo yanashikiliwa na watu gani ? utengenezaji wa silaha na uuzaji wa kimagendo ni nani anayeeendesha ?
Una uhakika kuwa Leo Waislamu wote na Uislamu ukifutika dunia itakuwa salama na Amani hakuna mauaji ,uhalifu wala fujo ?
Kuhusu kukemea yamekemewa sana na Masheikh na katika vitabu tatizo haufuatilii kama unabisha nikuletee audio na vitabu.
Huu uongo mkubwa huu.Katika vitabu muhimu 100 vya wamarekani, qurani wamekiweka no 1.
Kwani Wewe hujui kuwa nguruwe ni haram au unajitoa ufahamu?Kuna clip huko Sweden waislam ambao ni wahamiaji ( wakimbizi ) wameingia supermarket ile section ambayo kuna Pork wakaanza kukojolea nyama huku wakichukua video …ISLAMIC religion teaches hatred.