🤣🤣🤣Dogo unajua maana ya primary source..Quran imeandikwa na kuundwa baada ya kifo Cha Muhammad asa Ina tofauti gani na bible...
Naona unakosa adabu we kijana.
Kwa nini unataka kolazimosha kitu ambacho hakipo. Nimekwambia weka andiiko lolote aliloandika Yesu unapiga piga chenga, kama umekosa basi piga kimya sio kuanza kuleta dharau.
Taarifa iliotoka moja kwa moja kwa muhamadi sio primary source. ? Kwa hio hizo taarifa za kina paulo ndio primary source eti ?
Quran na Bible ni tofauti kabisa. Bibe taarifa za mitume Quran imetoka kwa muhanad mwenyewe kwa kumsomesha mtu kwa mtu aya kwa aya nikta kwa nukta. Yesu angesomesha hivyo aya za kila mtume zingefanana nukta kwa nukta.
Iqra bism rabika al-Akramu kharakal -insan ......Hayo maneno yalivyotamkwa na Muhamad ndivyo ydlivyohubiriwa.
Hakuna kitabu cha fukani.
Bible unaweza kufananisha na Hadithi za mtume. Hizi kila mtu/ swahaba aliahadithia alivyomsikua na kumuona Muhamad akifanya, hivyo kila mmoja alieleza kadiri alivyojaaliwa, sawa na bible .
Bible wengine wakaenda kupata ufunuo, kama Yesu alitimiza mafundisho yake kwa nini mfuasi akapate ufunuo ? Ufunio wa Quran ni ufunuo wa Muhamad mwenyewe sio wa mtu wa pili.
Kiufipi huna ushahidi wa kuthibitisha Yesu alijua kusoma. Kwa mantiki hio hata mimi naweza sema Muhamad alijua kuandika japo sina ushahidi wa kuweka hapo.
Uthibitisho wa mtu kujua kuandika ni maandiko hakuna porojo sasa wewe naona unapiga porojo huna ushahidi wa nakala yoyote ilioachwa na bwana Yesu.